Supu ya Jiwe: Mawazo yako si sahihi kabisa ingawa watu wengi wanazo fikra hizo. Ninakuhakikishia kuwa wewe ukitua tu Rwanda kuna watu unafanana nao ambao ni WAHUTU... je kwa kufanana na hao tutasema tutasema wewe ni muhutu??? Naomba nitoe elimu kdg kwa ninalo fahamu:
1. Watu wengi sana...
Mawazo yako si sahihi kabisa ingawa watu wengi wanazo fikra hizo. Ninakuhakikishia kuwa wewe ukitua tu Rwanda kuna watu unafanana nao ambao ni WAHUTU... je kwa kufanana na hao tutasema tutasema wewe ni muhutu??? Naomba nitoe elimu kdg kwa ninalo fahamu:
1. Watu wengi sana wanadhani kuwa mtu...
Dickson, navyofahamu Marehemu alikuwa analipwa na Channel Ten kwa mkataba wa jinsi anavyoreport story... hilo si geni kabisa katika Uandishi wa Habari na sector zingine kama Afya, Ufundishaji hasa wa Vyuo Vikuu na wengi wanafanya Bongo na Duniani.
Na wakati mwingine Unaweza kufaidika zaidi...
Usishangae mkuu....kumbuka hotuba ya JK wakati wa Mgogoro wa Madaktari aliposema kuwa Kuna Mawaziri na Manaibu wao hawaaminiania kabisa.... Mambo yameshaenda kombo.
Nina experience na Wachina...hiyo ndio tabia yao. Niko industry ya ambayo wanaitawala Tz na Africa...wakiona Bosi mmoja hatoi...
Hilo ndio la msingi.... Kuna fani zingine hata ukichua watu wa form six waingie kazini kazi itafanyika sio Doctors. Msicheze na hii fani kabisa. Doctors wakisema hawatoa ushirikiano jamani ni hatari. Nilipata kusikia neno kwa mtu mmoja pale muhimbili kuwa Doctors wakitangaza vita na mtu ni tabu...
Jamani hapa hatutafuti mshindi..kama wanarudi kazini ni kheri. Cha msingi hapa serikali ni kujua kuwa kuna fani si za kuchezea...Wamesema vizuri kuwa Dr unaweza kutumia dola na nguvu kumrudisha kazini kakini nature ya kazi yake uwezi kumlazimisha kufanya kazi. Tusipoangalia na statement yao...
Jamani pateni taarifa sahihi...Mwenyekiti wa Madaktari ameonekana kwenye vyombo vya habari akisema mazungumzo yako hayawezi kuwa na mafanikio kama watakuwa wanakaa meza moja na Waziri na Naibu ambao wamechangia kwa kiasi kikubwa katika migogoro yao. Mfano Waziri huyu ndiye alisema kwa mbwembwe...
Navyojua (Not 100% sure) mimi ni baadhi ya Nchi kama USA, wazazi wa kitanzania pindi ambapo watazaa mtoto wakiwa USA, Mtoto anakuwa raia wa US. Na kwakuwa kuwa Tanzania haina uraia wa nchi mbili hivyo hata akija TZ inabidi aukane uraia wa USA ndipo awe na sifa ya urai wa TZ.
Kwa swala la India...
tatizo bongo ni kila kuwa siasa.... Viongozi wakuu wanapotosha kuhusu madai a madaktari... Kiwango cha 7.5m hakiwahusu doctors wote... Eg...kumbuka si kila dr anatakiwa kulipwa call allowance, house allowance kwa kuwa wengine hawaitwi muda wa ziada wakati wengine wachache wamepewa nyumba...
KIPS: Kumbe elimu ya HIV and AIDS bado huijui......Nikuulize swali moja mwenye HIV akiwa anaendesha gari na akapata ajali na kufariki kifo chake kitaandikwa kimesabishwa na nini?
Ni sahihi kusema 70,000/ kwa kuwa kipindi kirushwa zamani kidogo wakati 200,00/= haijaanza. Sijui BBC kama wamewaambia watu kuwa mahojiano yalifanywa muda umepita sana. Wanakirusha second time.
Mjadala huu ni recorded na ni ya muda mrefu kidogo, ila najua bbc wameamua kuurudia kwa kuwa bado unatija hadi sasa. Balaa ni kwa juma.... Maana najua hajafurahia kurudiwa tena mjadala huu kwa jinsi magamba walivyopingwa na wananchi kuhusu posho kwa sasa....
MISS sikuelewi unaposema Tanganyika huijui na hapo hapo unasema Tanzania Unaijua.... Mimi naamini kama huijua Tanganyika basi hata Tanzania huijui (soma definition ya Tanzania). Pili Najua majuzi kodi yako kubwa badala ya kununua vitanda Muhimbili ili kinamama wasijufungulie chini ilitumika...
jamani hilo ni vazi tu....hata rafiki yangu wa bukoba juzi tulipoenda kutoa posa alivaa kanzu ingawa yeye ni mkristu. Anyway kwa bongo wengi wakivaa hivi basi mashehe/waislam...duuuu.
ROMANTIC ... Hoja yangu hapa si swala alizikwa kwa taratibu gani bali ni kuwaelimisha waDANGANYIKA wengi kuwa swala la mtu akiitwa Moses ni Mkristu na Mussa ni Muislam sio Kweli. Haya ni majina tu... Ohhh kumbe Makamba alikuwa ndugu yake....kwa swala misimamo ya Kidini mzee makamba huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.