Recent content by hamdizo

  1. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Hii video ya mdada akitupwa ghorofani Oman na mwajiri wake ni ya kweli?

    Fala ww. Hivi unajua unachokiandika au mihemko tu? Ubaguzi upo kila mahali. Na umeuthibitisha kwa huo upuuzi uliouandika
  2. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

    Nmeshaanza kuona dalili ya kuwapo genge la mafia wa kichina almaarufu triads hapa tanzania
  3. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Masista (nun) wa Catholic wanavyofanya Kilimo Na Biashara ya Bangi

    Mi sioni tija katika kuhalalisha sigara na pombe alafu ukakataza bangi.hata tukicompare cons na pros za hivi vitu vitatu ganja ndo itakuwa ina madhara machache na faida nyingi zaidi.kwa taarifa yenu,tokea dunia iumbwe haijawahi tokea mtu akafa kwa sababu ya kuvuta mmea wetu adhimu.so legalise...
  4. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Toa maoni kwa nini shirika la utangazaji TBC lisifungwe kwa kuingizia taifa hasara

    Mara ya mwisho kuiangalia ilikuwa inaitwa TVT
  5. hamdizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote kwa ex wako

    Hana jeuri hiyo
  6. hamdizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote kwa ex wako

    My ex tukiwa chumba kimoja pamoja na Bush na Hitler na nikawa na bunduki yenye risasi 3... Ntakushoot na zote 3
  7. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Hamna haja ya ubishi mwingi.kama unaweza leta kitabu kinachoshabihiana kwa namma yoyote na quran nitaaamini kuwa ni project ya binaadamu.au kama unaweza kutoa kasoro yoyote ndani yake
  8. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Wanaomhujumu Rais Magufuli hawa hapa

    Duterte anafanya kitu kinaitwa extra judicial killings nadhani huwezi kuelewa kwa sababu unaongea vitu usivyovijua.historia ya duterte na mauaji ya wauza unga bila kesi inaanzia kipindi anashikilia umeya ea davao
  9. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Nilichapwa sana niache mashoto Ila haikuwezekana Tatizo mwandiko wangu ni mbovu mno
  10. hamdizo

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na utupaji hovyo wa 'pedi' uswahilini

    Bora ichomwe aisee kutupa kwenye shimo hupelekea choo kuziba,hivyo kuleta gharama zingine
Back
Top Bottom