GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Najisikia vibaya mno kuileta hii lakini sina jinsi. Dada zetu kwani siku hizi yale maadili yenu mliyofundishwa na bibi na shangazi zenu yapo wapi? Mnaokaa uzunguni mna bahati ila sisi wakazi wa " uswazinyo " sasa imekuwa ni jambo la kawaida sana ukikatisha tu mitaa kukutana na pedi na afadhali sasa iwe ya siku nyingi " ile kitu imeshakauka " lakini unakutana na kitu " mbichi " kabisa ya dakika 15 au 20 tu zilizopita ikiwa imetupwa. Na mara nyingine unaweza ukawa unaongozana na dada na pengine ukahisi labda kwa aibu anaweza akaiokota na kuitupia sehemu kwani hata yeye uchafu ule kuwepo pale kunamuaibisha pia lakini ndiyo kwanza na yeye anaichunia.
Badilikeni dada zetu kwani wengine kwa makabila yetu sisi wanaume hatutakiwi si tu kuona damu zile bali hata pedi au tambala litumikalo huku wengine naturally tukiwa tuna vinyaa vilivyotukuka. Sometimes hadi najuta kukaa uswazinyo kwani sidhani kama wanawake wa Oysterbay, Masaki, Mikocheni, Upanga, Makumbusho, Kijitonyama, Mbezi Beach na Sinza wanaweza kuthubutu kufanya upuuzi huu.
Ujumbe huu murua uwafikie wote wenye hii tabia kwani mnajiaibisha.