ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Leo mida ya saa mbili na nusu usiku kulikuwa na taharuki ndogo maeneo ya magomeni mapipa mkabala na benki ya DTB.Kuna mdada mkimbwende akiwa nadhifu alikutwa ameketi chini huku analia na mkononi ameshika chupa ya uhai uliokuwepo ndani ya mfuko nweusi.
Watu walipatwa na mashaka na walimuendea karibu yule Dada kumjulia hali
La haula yule Dada kumbe alikuwa anakunywa sumu ya panya na sumu hiyo ilikuwa na ujazo wa litre 1 ndani ya chupa ya uhai.
Wasamaria wakatafuta maziwa upesi na kumpa yule dada na dada bila ya hiyana akanywa Yale maziwa huku akilia
Jambo la kufurahisha dada huyo alikuwa analalamika tumbo linamuuma huku akilia ,...yani sumu unywe kwa hiari yako halafu unaanza kulia ?
Haijajulikana sababu ya kutaka kujiua huko sababu alikuwa analia tu.
Alipakizwa kwenye bajaji na kuwahishwa hospitali
Wana jamii forum ninataka kufungua kesi mahakamani kumshitaki dada huyu kwa kosa la kutaka kujiua,hivi familia yake hawajui saizi yupo wapi na vipi yule dada angekufa au anakufa saizi si angeleta mshituko kwa familia yake ,vilio na huzuni ,nimedhamiria kumshitaki
Je adhabu ya mtu anayetaka kujiua ikoje?