Recent content by Hambawena

  1. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera na kila la kheri
  2. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama ni hivi Kwa mtazamo wako ni vyema mtu awe anaingia kuangalia kwenye acc yake kila baada ya muda gani ?
  3. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    👍 pongezi kwake
  4. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwani ameshapata placed? au aliuliza swali?
  5. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Pdf Kesho Labla
  6. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna wakati inakuwaga na ugumu ila unaweza kuWeka utaratibu kila baada ya week mbili au moja ndio unachek au hadi siku ukisikia watu uliopiga nao interview wameitwa ndio uchek
  7. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kama ni tarehe 2 Andaa suti 👔 kabisa
  8. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Uwezi jua labla watakuita mapema
  9. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Labla wanamaliza kabisa la MEI 18 kisha aje la 24-05-2025 hadi 18-06-2025
  10. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nipo ndugu yangu
  11. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Restless Hustler wewe ni mmoja wa watu wanaosubiria ilo pdf la JUNE kwa hamu kubwa..
  12. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa hiyo mlifanya wote tarehe 28 mwezi wa tano.
  13. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sio kwamba mkeka waliofanya 24-05-2025 hadi 18-06-2025 Bado ujatoka maana naona mikeka mingi inayotoka sasa inaishia 21-05-2025
  14. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Very Powerful
  15. Hambawena

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Amina Mkuu
Back
Top Bottom