HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Eti wakuu naomba kuuliza sisi tulifanya interview ya afisa ushirika tarehe 28 mwezi wa tano walikuwa wanataka watu 27 ila oral wakaita watu 248 cha kushangaza jana wametoa mkeka wameandika walio fanya interview kuanzia mwez wa 9 mwaka 2024 hadi 21 mwezi wa tano mwaka 2025, na wameita watu watatu kama ma afisa ushirika na mtu mmoja kati ya walio itwa alifanya oral ya account officer siyo ya ushirika
 
Labda aliwahi fanya ya ushirika huko nyuma kabla ya account officer
Muulize vizuri
 
Eti wakuu naomba kuuliza sisi tulifanya interview ya afisa ushirika tarehe 28 mwezi wa tano walikuwa wanataka watu 27 ila oral wakaita watu 248 cha kushangaza jana wametoa mkeka wameandika walio fanya interview kuanzia mwez wa 9 mwaka 2024 hadi 21 mwezi wa tano mwaka 2025, na wameita watu watatu kama ma afisa ushirika na mtu mmoja kati ya walio itwa alifanya oral ya account officer siyo ya ushirika
Kwa nilivyosikia kwa watu wngn kam hyoo alifanya account officer na kam alifaulu vizuri ila kutoka na nafasi kuisha hyo mtu aliwekwa database na ndo maan akaja kupangiwa corparative officer
 
Sio kwamba mkeka waliofanya
24-05-2025 hadi 18-06-2025
Bado ujatoka maana naona mikeka mingi inayotoka sasa inaishia
21-05-2025
 
Eti wakuu naomba kuuliza sisi tulifanya interview ya afisa ushirika tarehe 28 mwezi wa tano walikuwa wanataka watu 27 ila oral wakaita watu 248 cha kushangaza jana wametoa mkeka wameandika walio fanya interview kuanzia mwez wa 9 mwaka 2024 hadi 21 mwezi wa tano mwaka 2025, na wameita watu watatu kama ma afisa ushirika na mtu mmoja kati ya walio itwa alifanya oral ya account officer siyo ya ushirika
Hapo ni wamemchukua kutoka database , inaonekana muajiri ana haraka na wafanyakazi ndio maana wanachukua kabla ya tarehe hyo.
 
Kwa nilivyosikia kwa watu wngn kam hyoo alifanya account officer na kam alifaulu vizuri ila kutoka na nafasi kuisha hyo mtu aliwekwa database na ndo maan akaja kupangiwa corparative officer
Jibu zuri sana hio ndio maana ya database sijui watu hawaelewi, halafu hio kufaulu vizuri hapo mboni km mizinguo kufaulu vizuri kwa kipimo kipi? Marks?
 
Ndugu zangu kuna maza hapa kitaa wakati anapasi nguo zake asubui ili aende kanisani pasi yake ilimgomea kuwaka.Basi akaniletea engineer EL -Marabish nimrekebishie (mwanae alimwambia nina degree ya umeme ndo alieniponza), nikamwambia mbona hilo ni tatizo dogo sana kwangu. Basi akaniachia ile pasi, namshukuru mungu niliirekebisha vizuri tu ikawa inawaka taa ila baada ya kuichunguza nikaona kama haipati joto vilee, si nikaamua niguse lile bati bana kuona kama inachemka, halooo..!!! narudia tena haloo...!!!🙌🙌 sitakuja kusahau shoti niliyokutana nayo yaani nilivutwa mkono nikahisi mkono umenyofolewa halafu kulikua na watu sasa nikawaangalia bahati nzuri hawakuusoma mchezo nikatoka nje taratibu kwenda kupigwa upepo.hapa nimeifunga vizuri kesho asubuhi nataka niwapelekee mafundi (wenye kazi zao) ikipona nitamwambia mie ndo nimeitengeneza....
 
Back
Top Bottom