HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wataalamu wa mfumo wa ajira portal kuna post imetangazwa na TPA scanner operator na inahitaj diploma kadha wa kadha na yangu ikiwepo

Najaribu kutega nyavu ili nivue wanadai jobb application failed wataalamu wa kuudanganya mfumo akina mbaga msaada tafadhali niongeze received
Hii ilinitokea mimi.
Solution ni kuwasiliana na utumishi moja kwa moja either kwa simu (kitu ambacho ni almost impossible) au uwafate pale ofsini kwao.
Issue ni kwamba course yako haijawa added kwenye hiyo post.
 
Asante nimefanikiwa kusort

Nimeadd academic qualification nyingine mzgo ukatiki
 
Wataalamu wa mfumo wa ajira portal kuna post imetangazwa na TPA scanner operator na inahitaj diploma kadha wa kadha na yangu ikiwepo

Najaribu kutega nyavu ili nivue wanadai jobb application failed wataalamu wa kuudanganya mfumo akina mbaga msaada tafadhali niongeze received
Mimi mwenyewe naona wananigomea, nimejaribu hata Security guard na mfanya usafi imeniambia failed.
Wakati kigezo ni kufaulu English na Kiswahili O' level.
 
kwamba wife anaweza akabadilishia gia angani 🤣 🤣 🤣
Lazima ataleta Feed back 🔙 🔙
Mwanamke akishika pesa kwisha habari wachache sana wanatulia kwenye mstari.....

Mbinu za ufundi ni mimba mfululizo ata watoto wanne apo kidogo atakua busy na watoto adi kuanza kuwaza ujinga mda umeenda

Mwanamke anaenda mkoa tofauti na wewe watamtafuna adi uchanganyikiwe apo Amna ndoa....

Jamaa ajipange kutafuta mke....
 
Na pia nasikia utumishi saa hii lazima uchape barua hakuna kuandika kwa mkono??
 
Back
Top Bottom