Ama kweli wewe Mpayukaji, labda jiulize kabla ya muungano ilikuwa na uchumi gani mpaka Nyerere alihisi tishio kwake na kulazimisha huu muungano feki ? Bora kujitawala hata kama utakuwa maskini kuliko kutawaliwa.
Hayo mambo ya UUnguja na Upemba yalipandikizwa na Watanganyika na ndio maaana...
Babuu, nadhani hujafuatilia mambo tunavyoyaanika hadharani huku Zenji, imefka hadi mmeshtaki kwa Police kwamba tunawanyanyasa kwa kuwaita Watanganyika ktk makongamano yetu. Mimi nimeshangaa huyu Kikwete kujipendekeza kwetu na tayari khabari ameshaipata kutoka Bwawani Hotel, Viwanja vya Kisonge...
Lazima atoswe muhuni huyu, lakini Gamba litahakikisha linauwa kesi kidesign. Loh..! kazi ipo.
Kapata kura 43,554 na Mpendazoe kura 39,150 ???????, wizi mtupuuu.:shock:
Kumbe liliwauma namna hioo! Loh......... !
Hamkuwasikia CDM walivosema huko Uzini "SMZ hairuhusu makanisa kujengwa ZNZ ", wewe utajenga je makanisa na hali waumini wenyewe wakupandikizwa wacheni unafiki Watanganyika (CDM), ZNZ ina utamaduni wake wakiislamu na haturuhusu makanisa na vilabu vya...
CDM inawashtuwa CCM tena huko Tanganyika na sio Zenji, CUF shida ytu ni Zenji na sio Tanganyika,
fuatilia mihadhara na makongamano huku Zenji ndio utajua kama Wazenji wana hamu ya upuuzi wenu au la....
CUF ni mwiba wa CCM na CDM huku Zenji na malengo yake ni kuikomboa Zenji iwe huru kama ilivokuwa kabla 26April1964,
Baada ya hapo tuna piga stop vyama vingi. Mimi nashangaa Watanganyika mnavyojihangaisha.
CUF haina haja hata ya kiti cha udiwani huko mrima shida yetu ni Zenji tu wacheni porojo...
Shein kausiwa asithubutu kumuondoa Shamhuna kwa 7babu anasiri nyingi za CCM huku Zenji za wizi wa kura na Ufisadi miaka yte ya uchaguzi 1995-2010, ndio maana hawawezi kumkosa ni kama uji na mgonjwa.
Furaha ya CDM itaishia ndani ya mtungi, hapa ninawaona magamba wamepause akina Sioi na kikosi kamili hawana wasiwasi kamavle anasuburi kuapishwa.
Inaaaminika kikosi kazi kimepelekwa baadhi ya vijiji kudhibiti hali, CDM subirini tiktaka ya kweli.
Tutawanig'iniza kama popo, jipeni moyo CDM mutakimbia si muda mrefu hapa JF.
Taarifa nilizonazo mpaka muda huu mgombea wa CDM (Nasari) anaelekea kukubali kushindwa wakati Slaa na wenzake wameanza kuufyata na kuelekea Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.