Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

Ufukara wa CUF usie sababu ya kuminya haki ya watanzania kumchagua mtu wanayemtaka ili awawakilishe bungeni.

Na kama kubadili sheria asuburi mpaka 2016, kwa sasa kuna kazi kubwa - kushikishana adabu.
 
Mtatiro na viongozi wenzako wa CUF mmeshindwa jenga chama chenu sasa wenzako wamekutuma mawazo ya kipuuzi kama haya ili chaguzi ndogo zifutwe kusitiri aibu yenu?! Haya sasa ktk Katiba Mpya akirudishwa mgombea binafsi,akifariki arithi nani? Mke ama watoto? Sikujua kama ni mufilisi wa kisiasa kiasi hiki!

Mkuu umenifurahisha sana hapo kwenye red.. Imagine mtoto ana miaka 17 anakuja kushika nafaci ya baba yake.. Halafu swali lako limenikumbusha lile swali la Lusinde matuci alieuliza ati ukizaliwa kwenye ndege unakuwa raia wa angani..!
 
aisee jamaa kweli kaishiwa hoja mpaka anaoungea vumbi, alichokiongea tena sio pumba manake angalau pumba unaweza kutumia kulisha mifugo lakini vumbi ni balaa tupu au ameugua ghafla ugonjwa wa akili naomba wadau mnisaidie kunijuza
 
Kama kutakuwa na sheria ya mgombea alishika nafasi yapili kumrithi marehem, then tutegemee mauaji mengi sana ya wabunge. Mtu atahakikisha kuwa anamwondoa duniani mshindi huku akijua kuwa yeye ndie atakuwa mrithi. haki ya nani kabisa wale wabunge waliokatwa mapanga hawatakuwa salama hata kidogo. siungi mkono hoja
 
Kunatofauti gani kati ya MP wa kurithi ndani ya chama na viongozi wa wakuteuliwa kama wakuu wa mikoa, IGP, Inspectors, DC's, ? Hayo mawazo ya kurithi niyawapi tena? Je mngeshiriki nyie cuf na kushinda ungesemaje? nafuu ata ungesema uchaguzi usiwepo tena kabisa pindi kiongozi akifa au kujiuzulu mpaka uchaguzi mwingine kuliko kurithishana kichama. majukumu yake yataendeshwa na waliyopo chiniyake. Mimi sinaga tabia ya kupost saaana ila umeniuthi na huo u 'ccm B' unaouonyesha nje nje WEWE JULIUS "MWANAARAKATI WA UDSM' Enzi hizo kabla ya kusaliti watanzania na kuamua kua ccm-b. ungaliingiaga cdm ungalikua na 'effect' sana na magnitude yako ingalikua kuuubwa.Haya potelea kwenye hilo giza uliloamua kuingia kakayangu na unaona walivyokua wajanja sasaivi wa TZ.
 
Karibu ataanza kuuza karanga kwani amenunua kofia la wauza karanga.kichwani zero kama lusinde!R.i.p cuf
 
Kikubwa angesema tuiingize kwenye katiba lakini kwa sasa katiba haisemi chochote.
 
Mbona anaongelea kutorudiwa kwa Uchaguzi wa ubunge pekee, Udiwani je! mbona hauongelei? Nao usirudiwe? Najua kwa vile amepata kule Tanga.

Acheni unafiki, mbona hamuishi vituko nyie. Kule Uzini mkasema vile, leo mnakuja na stori zingine. Ngoja itokee chaguzi ndogo Pemba kisha tuone ikiwa hamtatia timu.
 
Tusipoangalia hii hoja imetoka kwa nani, nadhani tunaweza kuijadili vizuri.

Serikali inaingia gharama sana na hizi chaguzi za kila siku. Watanzania tunakufa mno na nafasi za kuchaguliwa ni nyingi mno vile vile. Miaka mitano hii tutafanya chaguzi mpaka tutakinai

Kuna Muakilishi wa CCM kwenye Baraza la Wawakilishi la Zanzibar jimbo la Bububu amekufa mwezi uliopita, mwezi ujao kutakuwa na uchaguzi huko

Tunahitaji kukaa chini kama taifa na kutafakari namna ya kuokoa hizi fedha zinazotumika kwenye chaguzi ndogo
Let the parties involved use their own cash... (no ruzuku for anybody) tax payers money will be saved that way...

Mawakala walipwe na vyama vyao tabulation ifanyike vyama vyote vikiwepo (kama vyama havina pesa its about time waanze kutafuta cheap ways to do it)
 
Kumbe mtu unaweza kuwa taahira ukubwani? Sasa huyu naye ametumwa kuisemea CCM? Au kwa vile ni mke wa magamba? Uchaguzi mdogo haukwepeki. Vinginevyo tuseme kama Mbunge akifariki basi mgombea wa chama kilichoshika nafasi ya pili achukue nafasi hiyo moja kwa moja kwa maana huyu naye alikuwa anatakiwa na wananchi. Shida inayoambatana na hili ni ujuzi wa magamba kutumia Pollolium, sijui kama watu watabaki?!!

hii ya nafasi ya pili siikubali mfano Igunga CUF ilikuwa ya pili lkn tuliona nafikiri labda utaratibu huu uendelee
 
Let the parties involved use their own cash... (no ruzuku for anybody) tax payers money will be saved that way...

Mawakala walipwe na vyama vyao tabulation ifanyike vyama vyote vikiwepo (kama vyama havina pesa its about time waanze kutafuta cheap ways to do it)
wewe umenena
 
Ivi huyu m2 ile degree yake alipata kwa haki kweli au nae ni kma kina JK na degree za kupewa
 
Mbona anaongelea kutorudiwa kwa Uchaguzi wa ubunge pekee, Udiwani je! mbona hauongelei? Nao usirudiwe? Najua kwa vile amepata kule Tanga.

Acheni unafiki, mbona hamuishi vituko nyie. Kule Uzini mkasema vile, leo mnakuja na stori zingine. Ngoja itokee chaguzi ndogo Pemba kisha tuone ikiwa hamtatia timu.

Kumbe liliwauma namna hioo! Loh......... !

Hamkuwasikia CDM walivosema huko Uzini "SMZ hairuhusu makanisa kujengwa ZNZ ", wewe utajenga je makanisa na hali waumini wenyewe wakupandikizwa wacheni unafiki Watanganyika (CDM), ZNZ ina utamaduni wake wakiislamu na haturuhusu makanisa na vilabu vya pombe kama huko kwenu.
 
mtatiro nenda chadema pls i knw u brother ukiungana na mnyika, silinde na nassar kama mko pale level square vile tukilianzisha au nkurumah, hama huko ccm-b
 
Kumbe liliwauma namna hioo! Loh......... !

Hamkuwasikia CDM walivosema huko Uzini "SMZ hairuhusu makanisa kujengwa ZNZ ", wewe utajenga je makanisa na hali waumini wenyewe wakupandikizwa wacheni unafiki Watanganyika (CDM), ZNZ ina utamaduni wake wakiislamu na haturuhusu makanisa na vilabu vya pombe kama huko kwenu.

Nimekupuuza....
 
Back
Top Bottom