Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

Comments kama hizi zinatofauti gani na matusi ya Lema na Lusinde?

mkuu kaseisi,naomba unioneshe wapi kuna tusi.kosa langu ni kumkanya mwanangu?mimi kama mzazi wa athumani ninaweza kusema na mwanangu.naomba unioneshe tus nipo tayari kuomba radh
 
Huyu ni mpuuzi tu aliyeweka uchafu wake hapa,anaonakwa mtazamo wake tungefikisha ujumbe kwa namna gan? hiyo ndiyo njia sahihi ya kufikisha ujumbe ndiyo maana hata yeye ambaye ni Gamba ujumbe umempata na umemuumiza! Nafikiri huyu ni mjinga fulani anayefikiri kile akiwazacho ndicho kila mtu mwenye akili timamu akiwazacho

Ahsante Mkuu, ila waswahili husema, "Tusi haliwezi kukuuma kama hujalihisi ni tusi kwako" na binafsi sijaumizwa na lolote zaidi ya kujisikia amani kwa kufikisha ujumbe wangu.
 
TBCCM wa...nge chadema itashinda hata mkipotosha,aibu yenu,na 2015 tukichukua dola tutawashugulikia ipasavyo.aibu kwenu!
 
Wewe Doto kama ulisha conclude kwamba wana arusha ni wahuni, sasa unataka kuripoti habari za wahuni kwa manufaa ya nani?
2. Umetumia vigezo gani kuwaita wakazi wa arusha ni wahuni?
3. TBC mnajua mnachokifanya, msilalamikie matokeo!
4. Hivi siku ile mliporipoti habari ya Mkapa mkaweka script ya Nassari ilikuwaje Mkakosea? Hali ilikuwaje hapo ofisini kwenu?
5. Hivi baada ya kumwekea majungu TIDO mlidhani mtaweza?
6. Hivi Mnafunga lini kituo chenu? Si nilisikia mnakifunga kwasababu hamna pesa? Mlidhani mkigeuza kuwa kijiwe cha majungu watanzania wataendela kuburuzwa na upuuzi wenu?
 
Waandishi wajinga kama huyu ni janga na hawahitajiki katika tasnia ya habari, kama unaona TBC wanafanya kazi fair, then what a fuss?? Ninyi ndio mnaoharibu uhuru wa habari kwa mwamvuli huohuo wa uhuru wa habari hata mimi ningekuwepo ningewazuia...

Lazima mjue vyovyote vile pamoja na dharau zenu na upendeleo wenu katika kutoa habari za viongozi wa vyama vya ushindani(upinzani) kwamba hao ni News makers wakubwa kabisa kuliko hata wanasiasa milioni kumi wa CCM, ninyi kwanza jifunzeni kutokuwa waosha vinywa wa magamba na pia muoneshe ukomavu wenu katika kutoa habari bila upendeleo ndipo mje kuhoji uvumilivu wa kisiasa mnaoutaka!!

BTW: Mbona siku hizi mmetoa ile namba ya maoni iliyokuwepo wakati mnasoma habari??

Kama ulikerwa na wewe huoni upofu ulionao 'go and eat a coke'
 
"Baadhi ya wanachi wahuni" mbona mnakwepa hii sentensi wakubwa?
 
Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika linapokuja suala la Uhuru wa vyombo vya habari. Kitendo kilichoripotiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa, baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha ambao kwangu nawaona ni "wakazi wahuni" kujaribu kuwazuia waandishi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufanya kazi yao kwa kigezo kuwa wanatoa taarifa za kupotosha hazina msingi na walipaswa kutafuta njia nyingine ya kuonyesha kwao kutoridhishwa na utendaji wa shirika hilo. Nachelewa kusema kuwa tabia iliyoanzishwa na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA kuwaona kila wasio waunga mkono ni wasaliti haifai na wala haileti picha ya uvumilivu wa kisiasi ambao tungetarajia kuuona ukihubiriwa kwa vitendo na yoyote anajipambanisha na chama au jumuiya makini.

NB: Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mwanahabari, wala hakuna mahusiano na itikadi au maslahi ya shirika lolote.

Only a fool would agree with this c rap ! Pole sana
 
I did not expect positive reaction hasa kama wanatoa watu waliojificha nyuma ya avatars...lazima mjue kuwa CCM inawachama zaidi ya milioni tano, hatuwezi kuwapuuza eti kwa sababu watu fulani wanajihisi wako sahihi kupita wengine. Wewe umenithibitishia kuwa "Mhuni mmoja wapo"

doto,taratibu mi baba yako ujue!
 
Waandishi wajinga kama huyu ni janga na hawahitajiki katika tasnia ya habari, kama unaona TBC wanafanya kazi fair, then what a fuss?? Ninyi ndio mnaoharibu uhuru wa habari kwa mwamvuli huohuo wa uhuru wa habari hata mimi ningekuwepo ningewazuia...

Lazima mjue vyovyote vile pamoja na dharau zenu na upendeleo wenu katika kutoa habari za viongozi wa vyama vya ushindani(upinzani) kwamba hao ni News makers wakubwa kabisa kuliko hata wanasiasa milioni kumi wa CCM, ninyi kwanza jifunzeni kutokuwa waosha vinywa wa magamba na pia muoneshe ukomavu wenu katika kutoa habari bila upendeleo ndipo mje kuhoji uvumilivu wa kisiasa mnaoutaka!!

BTW: Mbona siku hizi mmetoa ile namba ya maoni iliyokuwepo wakati mnasoma habari??

Kama ulikerwa na wewe huoni upofu ulionao 'go and eat a coke'

Unaongea kwa niaba ya nani kwanza maana nahisi kama unamsemea mtu?!
 
pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu tanzania lakini bara zima la afrika linapokuja suala la uhuru wa vyombo vya habari. Kitendo kilichoripotiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa, baadhi ya wakazi wa jiji la arusha ambao kwangu nawaona ni "wakazi wahuni" kujaribu kuwazuia waandishi kutoka shirika la utangazaji tanzania (tbc) kufanya kazi yao kwa kigezo kuwa wanatoa taarifa za kupotosha hazina msingi na walipaswa kutafuta njia nyingine ya kuonyesha kwao kutoridhishwa na utendaji wa shirika hilo. Nachelewa kusema kuwa tabia iliyoanzishwa na baadhi ya wafuasi wa chadema kuwaona kila wasio waunga mkono ni wasaliti haifai na wala haileti picha ya uvumilivu wa kisiasi ambao tungetarajia kuuona ukihubiriwa kwa vitendo na yoyote anajipambanisha na chama au jumuiya makini.

Nb: Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mwanahabari, wala hakuna mahusiano na itikadi au maslahi ya shirika lolote.
nahisi wewe ndo mkurugenzi wa tbccm kama sijakosea ilakama nimekosea nisahihishe tafadhali

I did not expect positive reaction hasa kama wanatoa watu waliojificha nyuma ya avatars...lazima mjue kuwa CCM inawachama zaidi ya milioni tano, hatuwezi kuwapuuza eti kwa sababu watu fulani wanajihisi wako sahihi kupita wengine. Wewe umenithibitishia kuwa "Mhuni mmoja wapo"
Wewe Kanjanja,
Unafahamu maana ya neno muhuni??
 
Dotto Athumani huyu ni mwandishi wa habari wa TBC ambaye ni muhuni wa kutupwa na ninawasiwasi na CV yako. Wewe ni mwandishi njaa, tena naona umetangaza vita na wananchi wa mkoa wa Arusha bila kujielewa, sasa tutaona kama hao magamba watakulinda siku zote. Hiv wewe unafikiri tunafurahia nyie kulamba pesa zetu halafu mnawapigia magamba kampeni,hamkuona aibu cku mmechanganya habari ya arumeru ya magamba halafu mkaweka ya CDM kwa bahati mbaya?
 
Msilaumu kapata uloda wa Gamba huyo.

doto ni mwanangu kabisa anayelelewa na baba wa kambo namfahamu sana,mi wala sishangai haya anayoyasema hapa.ajira ya tbc kaipata kwa kadi ya ccm wala hajasomea uandishi wa habari.
 
wewe unaonekana ni mpuuzi wewe unataka kila mtu aiunge mkono chadema kila mtu ana mtazamo wake, na hii ni nchi ya kidemokrasia kila mtu ana uhuru wa kushabikia chama cha siasa anachifikili kina mwelekeo sahihii

Kama hata moyo wako unaamini hiki ulichokiandika hapa basi ww ni zaidi ya binadamu!
 
Kwanza aliyesema ni dhambi kuwa mwanachama wa CCM nani? Ningekuwa CCM wala nisingejikana na kuona haya maana hiyo ni haki yangu ya kikatiba.
Kweli aliyeshiba humsahau mwenye njaa. Watu wa aina ya dotto ndio tutawalaaumu sana nchi yetu ikiingia kwenye machafuko. Hivi unajisikiaje unapokula rushwa ili kufanya jambo linalokandamiza haki ambayo baadae inahatarisha amani ya nchi? Haya bwana hatunabudi kimuomba mungu atuokoe na hayo mabaya mnayotutengenezea kwa ajili ya maslahi yenu binafsi!
 
Back
Top Bottom