Habari za mchana wadau.
Natafuta tairi za pikipiki aina Honda Twister CBX 250. Nipo Ruvuma na huku hamna hivyo kama kuna mahari zinapatikana hata kama ni used naomba tuwasiliane tufanye biashara.
Mbele: 100/80-17 M/C 52S
Nyumba:130/70-17 M/C 62S
Pesa za kurudia chaguzi za madiwani na wabunge waliohamia CCM zingetosha kulipa deni la mkulima. Kwanini tusilipe ili kuondoa hii mambo ya kufedheheshana kunakojirudia rudia
Wewe utakuwa unampenda kimapenzi raisi wetu. Sisi tunao mpenda kizalendo tunataka kuona akiilinda na kuifuata katiba yetu pendwa ya Jamhuri ya Muungano
Polisi lazima uende kuthibitisha kama kweli wewe ndiye mhusika kwa kupeleka kitambulisho chako. Wakikuona na kuangalia kitambulisho chako wanathibutisha ndio utaweza kuipakua loss report yako
USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA. Kulipa mahari yote kwa wachaga ni dharau. Hiyo 5m waliyokutajia wanajua kabisa wewe huwezi kuilipa. Pia hata hiyo ya chakula uliyotoa ungesema hauna siku ingepita. Kwa ushauri wangu kama huyo mwanamke unampenda kubali deni lipa unapoweza utapata baraka za wazazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.