Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,701
- 45,035
Yaani hii nchi imekuwa ya hovyo sana. Ku-renew laini ya simu mchakato ni mrefu na sumbufu haswa.
Licha ya kuwa Police Loss form ipo online, lakini lazma uwende polisi ukathibitishe malipo na hapo ndipo kirambasi kilipo. Ukienda polisi utazungushwa haswa, mara uambiwe mtoa huduma hayupo, mara una sh. ngapi tukusaidie? Yaani ni shida tupu
Kwasasa ni nafuu sana kuapply passport na ukaipata bila wasiwasi kuliko ku-renew laini ya simu.
Nawasilisha.