Recent content by halfankp_sniper

  1. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Sitti Mtemvu kuzindua Kitabu cha 'Chozi la Sitti'

    Kuna lolote lenye ufundisho katika hicho kitabu. Au anajutia yaliyomtokea.
  2. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni ugonjwa gani?

    Hivi kweli mapenzi ni ugonjwa kama ni ugonjwa kwanini watafiti wasitafutie dawa? Kila sehemu siku hizi ukimkuta msichana ama mvulana akizungumzia mapenzi basi lazima yawe mapenzi yenye maumivu. Je haya mapenzi nini hasa? Karibuni tujadiliane
  3. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Asante sana
  4. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuipata iPad yangu iliyoibwa?

    Kukushauri tuuu kama uliwahi jisajiri kwa net search yeyote unaweza itafuta au kama siri unazifaham number za engeen yake unaipata
  5. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya mashujaa wa miaka 50 ya Muungano, Mama Maria na Diamond ndani

    Waangalie vigezo upya
  6. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Mfano unakuta unaoa kwa sabb la umri kwenda, ama imetokea sabb mimba ama shinikizo la wazazi jamaa na ndugu hapo lazima kuchokana mapema tu maana maamuzi yatayokuja ni kwa sabb ya hivyo vitu. Siku uje ukutane na ambae ndio chaguo lako lazima mifarakano ianze.
  7. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto wetu wapate malezi ya pande mbili?

    Siku hizi ni kama fashion ama sielewi, MALEZI ya mtoto kwa baba na mama kulelewa pamoja hamna. Nimechunguza nikaona sabb kubwa ni ndoa kutokudumu. Swali langu, nini kifanyike watoto wetu wapate malezi ya pande mbili (baba na mama ) kwa ukaribu na upendo
  8. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Sio tunaingia katika ndoa kwa sababu ya kitu
  9. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Hausegirl katushika pabaya

    Hahahaaaa ujue nacheka huyo housegirl anatingisha kiberiti
  10. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Madame B, Mungu amjaalie afya njema

    Mungu atamsaidia kuwa sawa na pia dua zetu ziongezeke pia
  11. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Ni kwa nini ndoa nyingi za siku hizi haswa vijana hazidumu? je nini tatizo na kipi kifanyike ili kujenga uimara na mahusiano mazuri kuzuia hili swala.
  12. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Mshirika mpya

    Nami ni mgeni humu
  13. halfankp_sniper

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Ivi kwa nini asilimia kubwa ndoa nyingi siku huzi hazidumu. Migogoro imetawala zaidi badala ya furaha. Nisaidien kujua hili
Back
Top Bottom