Tumuombee Madame B, Mungu amjaalie afya njema

Tumuombee Madame B, Mungu amjaalie afya njema

Pole sana Madame B Mungu akupe wepesi upone haraka, sijakuona jukwaani kitambo
 
madam_B_jf.png
 
Ha Mtambuzi bwana...yaani mchana wote hujampigia unakuja kumpigia usiku...sawa bhana...ngoja nimkumbuke katika maombi yangu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nipo kwa Madame B, anaendelea vizuri....
Tuzidi kumuombea Mungu amponye arudi jukwaani.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom