Recent content by Haki.tupu

  1. Haki.tupu

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    Matuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuure - kachote umeme! I miss it! Wapi akina double man, given mariki, power, ... msela..., nk
  2. Haki.tupu

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Yaani Hussein Mwinyi na Ali Hassan Mwinyi wote wanakuwa kwenye kamati kuu!! Haya mambo ya ajabu sana!
  3. Haki.tupu

    Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

    Mbona Ridhiwani kakosekana - jamaa anaona noma kumweka mwanae - anaishia kuwaweka watoto wa maswahiba! Au ndio ahadi ya uwaziri aliyoitoa kwa Januari! Kweli gamba limevuka (makambo mkubwa to makamba mdogo) - lakini mtoto wa nyoka ni nyoka mbona?
  4. Haki.tupu

    NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

    Inawezekana pia ni strategy ya management kutaka kubaki madarakani - kwa sababu waliowateua wataona ni afadhali wawaache ili wamatekeleze miradi yao waliyoianzisha! Na wataendelea kubuni miradi kama hiyo mpaka sijui lini?
  5. Haki.tupu

    NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

    Indeed, something is very wrong! The impression I get is that wamewalewesha wanaotakiwa kuwasimamia (the government/politicians) na sasa wanafanya wanachokitaka na serikali inawaona kama wakombozi wao! It is quite unimaginable kwa nchi yenye uncertain investment environment kama Tanzania kwa...
  6. Haki.tupu

    Elections 2010 Mbunge wa Arusha apigwa hadi kuzirai na jeshi la polisi

    I hope Anna Makinda atasema kitu in defence ya Lema juu ya hili! Naamini kabisa Sitta pamoja na UuCCM wake angefyatuka. Tukikubali wabunge wawe wanapigwa.....!
  7. Haki.tupu

    Must read - Jenerali Ulimwengu at his best

    Bu he doesnt touch on the just ended TZ elections! Is he happy about them...?
  8. Haki.tupu

    Hebu jikumbushie 'Siku ya Gulio Katerero'

    Nondo Mla Watu (Mgoya main chacter)! Miiko ya Uongozi (Mperembi - main actor)!
  9. Haki.tupu

    Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    Mkandara, Sijasema mtu asipotaka urais anakuwa hafai kuwa rais - inawezekana hataki kugombea kwa sababu anajua hatashinda ndani ya system ya wizi kama hii - so why waste time kutangaza kuugombea! Pia inawezekana hataki kugombea kwa sababu anaona kuna anayefaa zaidi yake nk. Hata wewe Mkandara...
  10. Haki.tupu

    Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    Zitto anahaki ya kutangaza nia ya kugombea chochote na sisi wananchi wa kawaida pia tuna haki ya kutoa maoni juu ya kufaa kwake kwa nafasi yake. Mimi nasema Zitto hafai kwa nafasi ya KUB kwa sasa hasa nikizingatia yaliyotokea mwaka jana tu! Aligombana sana na vijana wenzake huko chadema na hata...
  11. Haki.tupu

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    Dr. Slaa kura yangu na weengi niliowashawishi kesho utazipata - ushindi wako ni ushindi wetu wapenda nchi. Usishangae kuwa wengine tupo concerned zaidi hata ya wewe na uchaguzi huu. Tuendelee kuhamasisha na tupo pamoja.
  12. Haki.tupu

    Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    yaani hapa dar es salaam matokeo yanachelewa hivyo! ajabu na kweli!:eek2:
  13. Haki.tupu

    Sumaye azungumza na waandishi; ajibu maswali masuala ya kitaifa

    Ningekuwa mwandishi - haya ya akina Sumaye na akina mrema yasingepata nafasi kwenye magazeti yangu! By the way - wangemuuliza Havard alisomeshwa na nani?- Serikali au yeye mwenyewe! You would be surprised!
  14. Haki.tupu

    Paul A. Samuelson, Economist, Dies at 94

    RIP Samuelson! Indeed, there can never be 'easy-to-understand' books than those by Samuelson! RIP, again!
  15. Haki.tupu

    CCM to split?

    I wish this were a true 'dream'. Ngoja wagawanyike ili tuone bwana mkubwa kama safari za nje bado zitakuwepo! The timing ya kugawanyika nayo ni muhimu sana.
Back
Top Bottom