Recent content by Haji2017

  1. H

    JamiiForums Tanzania VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Kwanini kila cku Voda?mwaka wa tatu sasa watu wanalalamikia Voda lazima tukubali kuna shida
  2. H

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mimi ni mkazi wa Boko mnemela njia panda ya mpiji kiukweli tunapata tabu sana kuhusu swala la maji tushatoa 5,000 zetu na kupewa form kuwa Dawasa survey atakuja yapata mwaka sasa hakuna aliyepita tunakaa na form mpaka zinapauka hebu fanyeni utaratibu mtuunganishie maji maana mara ya kwanza...
  3. H

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Maoni yangu kwanza muwe na ratiba ya vipindi maana unaweza ukakaa wiki nzima kipindi hiko hiko sasa cjui mna kwama wapi kingine ubora wa picha bado poor kabisa wakati mna vifaa vya kisasa au kama mnashindwa kuvitumia iteni wataalam wawapige msasa mna gari zuri la kurushia matangazo ila...
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nikinununua umeme wa 5000 napata unit 13.9 wakati awali nilikuwa napata unit 14 na point
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wa fadhir wa mirad

    Hahahahahaaaaa
  6. H

    JamiiForums Tanzania paid online survey

    Geopol kitambo sana nipo nao wananitext na kufanya nao survey hawana noma ukimaliza tu vocha inakuja chap
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

    Kabisa jana tu nilikuwa nafanya service za air conditioning kwa mchina yaani malipo ya kifala kweli yaani kila air conditioning moja 10,000 tukafanya nne tukasepa akatoa kazi ya service ya water dispenser kwa 3,000 kila moja tukaona upuuzi tukaachana nao kabisa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

    Pole sana kaka mimi nilikuwepo cku walivyokuwa wanatakiwa watu 100 kama ni hivyo hakufai kabisa cku zote wachina ni wababaishaji automatically
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

    Yah huwezi kabisa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

    Mimi nlibahatika kwenda walivyotangaza kazi zilipitia kwa Mkuu wa wilaya kibiti na malipo ni 12,000 per day na hailipwi cash inalipwa via bank maana walisema kama hauna account ya bank huwezi kulipwa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Refrigeration /air condition Technician

    Kutana na mafundi bora wa friji,a/c za magari,a/c za majumba pamoja na umeme kazi zetu ni uhakika bila shaka tunafika popote ulipo tuwasiliane kwa namba 0713230547(Haji)au 0717227054(Victor)
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mbona siwaelewi HALOTEL?

    Hao Halotel ni wezi wakubwa mimi sh.500 wananipa Mb 350 za kuperuzi huku Mb 150 wananipa za YouTube sasa najiuliza why wakate Mb zangu kwa ajili ya YouTube? Huu ni wizi wazi wazi
  13. H

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz unatuharibia mahusiano

    Mnunulie tu kwani kuna ugumu gani?
Back
Top Bottom