paid online survey

Mkuu maelkez jinc y kuipat hio afrisight
Kwenye playstore inamuonekano huo afrisight
Screenshot_20190720-130932.jpeg
 
kwa ukuaji wa mtandao duniani, makampuni mengi hutumia nyanja mbalimbali ili kutangaza na kupata maoni ya wateja kuhusu bidhaa au huduma wanayoitoa.
kuna makampuni yanaendesha zoezi la kukusanya data kwa walaji kwa njia ya kufanya survey fupi kuhusu bidhaa fulani.
kwa kila survey unayofanya kuna malipo either kwa mfumo wa kupewa airtime, gift cards, kulipwa pesa kupitia pay pal.
mi nimefanya na GEOPOLL ya kenya MOBIWOX, hawa wanatoa 5000 kama muda wa maongezi.
Kama kuna nyingine unazozifahamu unaweza share.
Geopol kitambo sana nipo nao wananitext na kufanya nao survey hawana noma ukimaliza tu vocha inakuja chap
 
Back
Top Bottom