vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,232
- Thread starter
- #21
Mbona umefika mbali mkuu umeisoma vizuri thread.Mkewako anapenda mambo makubwa sana, angalia sana asije akawa analiwa sana nnje
Mbona umefika mbali mkuu umeisoma vizuri thread.Mkewako anapenda mambo makubwa sana, angalia sana asije akawa analiwa sana nnje
Hapo kwa wadada futa we andika umepata mwanamke mdangaji usijumlishe wote kingine siamini hii mada yako ni uwongo.Mkuu mm siigi mbona nimejiandaa na unawezo wangu kasimu tu ila diamond ndo anawafany wadada huku nao wawaze mandinga.
Mbona kigeugeu, "umepata mdangaji" na "mada yako ni uongo"Hapo kwa wadada futa we andika umepata mwanamke mdangaji usijumlishe wote kingine siamini hii mada yako ni uwongo.
Yaani namaanisha nimekupa ushauri japo naamini mada yako si kweli hakuna mwanamke mpumbavu kiasi hicho.Mbona kigeugeu, "umepata mdangaji" na "mada yako ni uongo"
Kiasi kipi?Yaani namaanisha nimekupa ushauri japo naamini mada yako si kweli hakuna mwanamke mpumbavu kiasi hicho.
DolariMnunulie tu kwani kuna ugumu gani?
Aisee kazi ipoKiasi kipi?
Hahhahahahah tatizo hukuisoma vizuri hiyo thread na ukaielewa... my wife is pregnant.Aisee kazi ipo
Kiukweli hajasema kitu.Unajishtukia2 mkuu kwani amekwambia anataka gariii
Kama una uwezo wa kumnunulia si umnunulie tu mkuu, fanya kufumba macho bwana