Mradi wa stiegles gauge wa Kisaki na Ruvu

najua mradi umeshaanza muda lakn hata me nahitaji kujua zaid kuhs ajira zinakuaje..wenye details jaman au anaefanyapo au alowahi kufanyapo atusaidie plz
 
me nilifanikiwa kupigiwa simu kwenda kufanya kazi huko kisanga kikawa kwenye malipo kuna wachina kule 15000 per day kula kulala unajitegemea hapo ndipo nilipochemka
 
[emoji23] [emoji23] mleta mada bwana ndio nini umeandika mbona hayaleti maana?
 
me nilifanikiwa kupigiwa simu kwenda kufanya kazi huko kisanga kikawa kwenye malipo kuna wachina kule 15000 per day kula kulala unajitegemea hapo ndipo nilipochemka
Uliombea wapi hyo kazi hadi ukaitwa?ilikuwa ni ya kibarua au kazi ya kitaalamu kwa hayo malipo ya 15000 per day?na je Ina maana kule porini hawajaweka nyumba za wafanyakazi kweli?
 
Hakuna maisha huko mradi huo wa umeme mateso tu kampuni ingekuwa ya wazungu tungegurahia malipo sio hao wachina wamepewa sub.
 
Mbona nimesikia kampuni iliyokabidhiwa mradi ni ya waarabu,hao wachina wanetoka wapi au wamepewa subcontractor?
 
me nilifanikiwa kupigiwa simu kwenda kufanya kazi huko kisanga kikawa kwenye malipo kuna wachina kule 15000 per day kula kulala unajitegemea hapo ndipo nilipochemka
Uliomba ukapigiwa simu kuitwa kazini bila interview...uliitwa kufanya kazi gani mkuu
 
Uliombea wapi hyo kazi hadi ukaitwa?ilikuwa ni ya kibarua au kazi ya kitaalamu kwa hayo malipo ya 15000 per day?na je Ina maana kule porini hawajaweka nyumba za wafanyakazi kweli?
hawajaweka makazi mkuu me niliomba kama professional upande wa blasting/drilling kuna jamaa ndo amechukua tenda kwa hao wachina ya kutafuta wafanyakazi
 
Uliomba ukapigiwa simu kuitwa kazini bila interview...uliitwa kufanya kazi gani mkuu
nilifanikiwa kwenda had kule nikafanya interview upande wa blasting tulishindwana kwnye malipo,,,kuna waswahili wameingia mtu kati ndo wamezid kuharibu
 
Yea ni kwel kuna weusi wenzetu ndio shida sbb km wanatoa 15k per day, weus wenzetu wanakupa 10k per day, afu kazi ngumu kinoma, kimazingira, maladhi nk. Iliinabidi muheshimiwa afikishiwe maana watu wanadhulumiwa sbb ht wachina wenyewe hawalifaham hil, na sio huko tu kwe miradi ming sana na sehm mbal mbal, watu weusi wanadhulumu sana wenzao, na ukionekana unajua kuongea unatafutiwa kesi unatolewa nje,
 
Mkuu sorry hao wanaohusika na kutoa kazi wanapatikanaje.
Nisaidie contact zao na jinsi ya kuomba kazi kuupata huo mchongo Kama hutojali uswahilini hali mbaya mkuu.
 
Napenda kujua huu mradi umeshaanza? Na je, kama umeanza wanachukua vibarua? samahanini kwa anaefahamu anijuze
Nadhani ni "Stieglers Gorge" sio "Stieglers Gauge". Pia kuna Mradi wa Standard Gauge Railway (SGR) na sio "Standard Gorge Railway".
 
Mkuu sorry hao wanaohusika na kutoa kazi wanapatikanaje.
Nisaidie contact zao na jinsi ya kuomba kazi kuupata huo mchongo Kama hutojali uswahilini hali mbaya mkuu.
Mimi nlibahatika kwenda walivyotangaza kazi zilipitia kwa Mkuu wa wilaya kibiti na malipo ni 12,000 per day na hailipwi cash inalipwa via bank maana walisema kama hauna account ya bank huwezi kulipwa
 
Na umbali wa saiti ilipo na kibiti mjini Kuna umbali sana?Yaani Kuna uwezekano mtu akapanga chumba kibiti mjini na akawa anaenda saiti kila siku?
 
haiwezekani ni mbali sana,,ila kuna kijiji kule karibu jina limenitoka nauli elfu 10 kutokea kibiti had kwnye icho kijiji
 
Back
Top Bottom