Mbona siwaelewi HALOTEL?

Mbona siwaelewi HALOTEL?

Hao Halotel ni wezi wakubwa mimi sh.500 wananipa Mb 350 za kuperuzi huku Mb 150 wananipa za YouTube sasa najiuliza why wakate Mb zangu kwa ajili ya YouTube? Huu ni wizi wazi wazi
 
Back
Top Bottom