Recent content by haikam

  1. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mtoa mada ni mnafik Kasema uongo 1.Kuna wasafir wanaruhusiwa kula 2.wagonjwa 3.watoto 4.akina mama walio katika siku zao Hao wote wanapika majumban mwao. Sema ukifika muda wa Ramadan Waislamu wanaojitambua hufunga biashara zao.Zbar ni sawa na vatican wanasimamia dini yao Sasa nani afungue...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bunge laagiza wakulima wa korosho wawe wamelipwa na serikali fedha zao zote na si vinginevyo

    Tunamsikiliza mh wazir Aliahid tar 31 itakuwa mwisho Ngoja tuone Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbinguni(peponi) iwe malipo ni kuabudu na tulishaabudu duniani?

    Katika uislamu Peponi hakuna kuabudu tena Wala kwenda haja kubwa na ndogo,ni malipo tu Ya mema yako Hakuna kuswali tena Huko Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mwanangu ana dalili Za kigugumiz,mwanzon Hakuwa nacho ila baba Yake Anacho,je kuna namna ya Kumsaidia? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Shule za kiislamu Nying zmefanya vizur Suala la Madrasa mbona Linawauma sana? Sisi tumeambiwa ktk Quraan Kwamba haijawa dunia isipokuwa ni starehe ya muda Mfupi au yenye kupumbaza Hakika akhera kwenu ni bora. Kwahyo hicho tunachopata Tunashukuru ila akhera ni yetu Milele Sent using Jamii Forums...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Acha uongo Eti Iran Sunni Saud Arabia mashia Usiandike usichokijua Pia madhehebu tofaut Ila ibada inafanana Sijui kama walokole na wasabato Wanaweza kusali kanisa moja Muda mmoja Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Chuo kikuu cha Udsm Kina msikiti na Kanisa Watu wanaswali swala 5 Hakuna ugomvi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

    Ina maana timu zote zilifungwa na yanga Haziko makini?Vip Simba ambaye alidroo na yanga hakuna makin? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Afukuzwa chuo baada ya kumkumbatia mwanaume hadharani

    Hivi kwanini Watu ambao si waislamu Wanachukia sana mafundisho Ya uislamu ambayo si dini yao? Waislamu wenyewe wamekubali Kufuata sheria hizo,kwanini uumie wewe?Heshimu sheria na dini ya mwenzako,wengine Ukiingia mwezi mtukufu tu wanaumia utadhani wao ndyo Wafungaj,wengine huwachukia Wanawake...
  10. H

    JamiiForums Tanzania UNI CASH FLOW: Ondokana na Mentality ya Ugumu wa Maisha(~Kwa Wafanyabiashara, Wajasiriamali na Watanzania Wenzangu)

    Umeongea fact Kwa watu wanaojitambua Naomba unisaidie fikra zingine Za kutoka kimaisha kama na wewe si mbinafsi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Sh222bilioni zimelipwa na Serikali kwa wakulima wa zao la korosho.

    Huenda January Wakaanza kwa kasi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania KOROSHO TENA! Serikali yakaribisha wafanyabiashara wanaotaka kununua na kubangua korosho

    Danadana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yazifunga akaunti 191 za wakulima wa korosho.

    Kazi ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

    Wazo zuri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom