Afukuzwa chuo baada ya kumkumbatia mwanaume hadharani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,610
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MWANAMKE mmoja nchini Misri amefukuzwa chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume katika moja ya video iloyosambaa katika mitandao.

Binti huyo amefukuzwa katika chuo cha Al -Azhar akishutumiwa kujidharilisha yeye na chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume huyo katika video ambayo ilichukuliwa katika chuo cha Mansoura nchini humo.

Baraza la nidhamu la chuo cha Al- Azhar lililokaa siku ya jumamosi liliamua kumfukuza Chuo binti huyo, Msemaji wa baraza hilo Ahmed Zarie alieleza vyombo vya habari.

Imeelezwa kuwa video hiyo imeleta picha mbaya kwa chuo hicho kitu ambacho hakiruhusiwi aidha imefahamishwa kuwa kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume ambao hawajaolewa sio maadili wala taratibu za jamii ya taifa hilo.

Kwa upande wa kijana aliyeonekana kwenye video, msemaji wa baraza hilo amesema kuwa watakaa leo jumatatu na kufanya maamuzi dhidi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nchi nyingine au dini nyingine au jamii nyingine zinacomplicate maisha .maisha ni simple lakini wanacomplicate mara kutoendesha magari,mara kuvaa nguo nyeusi.Mungu alitupa akili na utashi wa kusimplify maisha yetu dunian.watu wengine wanacomplicate.rubish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii

MWANAMKE mmoja nchini Misri amefukuzwa chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume katika moja ya video iloyosambaa katika mitandao.

Binti huyo amefukuzwa katika chuo cha Al -Azhar akishutumiwa kujidharilisha yeye na chuo baada ya kuonekana akimkumbatia mwanaume huyo katika video ambayo ilichukuliwa katika chuo cha Mansoura nchini humo.

Baraza la nidhamu la chuo cha Al- Azhar lililokaa siku ya jumamosi liliamua kumfukuza Chuo binti huyo, Msemaji wa baraza hilo Ahmed Zarie alieleza vyombo vya habari.

Imeelezwa kuwa video hiyo imeleta picha mbaya kwa chuo hicho kitu ambacho hakiruhusiwi aidha imefahamishwa kuwa kukumbatiana baina ya mwanamke na mwanaume ambao hawajaolewa sio maadili wala taratibu za jamii ya taifa hilo.

Kwa upande wa kijana aliyeonekana kwenye video, msemaji wa baraza hilo amesema kuwa watakaa leo jumatatu na kufanya maamuzi dhidi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee..... kumbe HUG ni ishu kiasi hiki..!!
 
Ni sahihi

Kila Jamii Na Utamaduni wao Na lazima uheshimiwe!

Hapa kwetu kuvuta Bhangi ni kosa la jinai na unaweza ukafuKuzwa Chuo wakati Maeneo Mengine imerhusiwa Na Ni sehemu ya Haki Za binadamu

Kuna Maeneo Mengine kulawitiwa Ni Haki ya msingi ya binadamu lakin kumuonesha Mtu ishara ya dole Mtu huyo huyo anaelawitiwa ni kosa
 
Nilijuwa tu lazima wangekuwa ni waarab!

cc: FaizaFoxy
 
Kama ni sheria na alikua anaijua basi kapata alichostahili.... Bongo ukitafuna miraa unafungwa miaka 30 hadi maisha, wakati sehemu zingine wanasaga hadi juice halafu safi tu.... lol.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Hivi kwanini
Watu ambao si waislamu
Wanachukia sana mafundisho
Ya uislamu ambayo si dini yao?
Waislamu wenyewe wamekubali
Kufuata sheria hizo,kwanini
uumie wewe?Heshimu sheria
na dini ya mwenzako,wengine
Ukiingia mwezi mtukufu tu
wanaumia utadhani wao ndyo
Wafungaj,wengine huwachukia
Wanawake wanaovaa kininja
wakat adha ya kuvaa hivyo anaipata yeye,acheni hayo
Mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi

Kila Jamii Na Utamaduni wao Na lazima uheshimiwe!

Hapa kwetu kuvuta Bhangi ni kosa la jinai na unaweza ukafuKuzwa Chuo wakati Maeneo Mengine imerhusiwa Na Ni sehemu ya Haki Za binadamu

Kuna Maeneo Mengine kulawitiwa Ni Haki ya msingi ya binadamu lakin kumuonesha Mtu ishara ya dole Mtu huyo huyo anaelawitiwa ni kosa
Kabisa n ukitaka kufanya hayo ambayo hiyo jamii ni kosa uchague mawili uhame ili uwe huru au ufanye uadhibiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini
Watu ambao si waislamu
Wanachukia sana mafundisho
Ya uislamu ambayo si dini yao?
Waislamu wenyewe wamekubali
Kufuata sheria hizo,kwanini
uumie wewe?Heshimu sheria
na dini ya mwenzako,wengine
Ukiingia mwezi mtukufu tu
wanaumia utadhani wao ndyo
Wafungaj,wengine huwachukia
Wanawake wanaovaa kininja
wakat adha ya kuvaa hivyo anaipata yeye,acheni hayo
Mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi Wana umia kisaikolojia Kwa mambo yasiyo wahusu,wanadhani culture ya wazungu ndio iko perfect kuliko zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom