Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Nashangaa ujue halafu wanatia hasira...tusiiiii!!!!Billion 222....!!!!zingekua zimelipwa sidhani kama wakulima wangekua wanalalamika ivi....
Inaonyesha pesa zimeshalipwa nyingi kwa wakulima kama serikali inavyosema pia bei ya 3,300/= kwa kilo si haba ni nzuri, lakini mbona zile mbwembwe za wakulima Mara hii hazipo? Au wanaiogopa serikari kuzitumia kwa mbwembwe isije wakanyang'anywa pesa zao? Au huku kulipwa kunakosemwa ni changa la macho tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wamesema wapi weka audio Au video mayala weweChadema wanasema hawataki kusikia chochote hadi serikali iruhusu ushoga
Inaonyesha pesa zimeshalipwa nyingi kwa wakulima kama serikali inavyosema pia bei ya 3,300/= kwa kilo si haba ni nzuri, lakini mbona zile mbwembwe za wakulima Mara hii hazipo? Au wanaiogopa serikari kuzitumia kwa mbwembwe isije wakanyang'anywa pesa zao? Au huku kulipwa kunakosemwa ni changa la macho tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchonganishi wewMwaka juzi Mwezi November tulikwenda Nachingwea nikashangaa kuona idadi kubwa Ya maembe
Nikaambiwa Bakhresa hulipia mti mmoja Tsh 10,000/= nikashangaa kwa mantiki hii serikali ilipaswa iingilie Kati inunue embe hizi kwa wananchi halafu imuuzie bakhresa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa !!!!Wauzaji waonyeshe mashamba na serikali ituonyeshe ama kutueleza ni wapi au kwa utaratibu gani imeweza kupata fedha kwa ajili ya kununua korosho?? Hata serikali inatufanyia kangomba kwa pesa zetu wenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, pia watueleze wamepora za shilingi ngapi maana walizolipa ni za bil 222.Na wakishindwa kuonyesha mashamba hizo korosho zinakua za nani?, itabidi na wao (serekali) wakitaka kuziuza waonyeshe mashamba ili haki itendeke.
Hill swali nikijibu atatokea pole² na matusi hapa maana wanazani wote hatujui hesabu. Umesahau ya 1.5t?.Kweli, pia watueleze wamepora za shilingi ngapi maana walizolipa ni za bil 222.
mwaka mpya umeanza leo.
wakulima wa korosho bado wapo hoi. wanapigwa danadana siasa zimetawala. aliyewafukuza wanunuazi binafsi hana pesa. wanunuzi binafsi wamegoma.shule zinafunguliwa hawana mahitaji, waliokopa bank wanadaiwa hawana cha kulipa.
Raisi anaharibu uchumi kwa kuleta kiburi na ujuaji usio na tija kwa taifa