Recent content by haidom

  1. haidom

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    je kama umetokewa na malenge lenge sehemu za siri waweza tumia huo mchanganyiko wa septrine na vaseline????????
  2. haidom

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    mkuu @ brivigy je ukiwa umepata malenge lenge sehemu za siri waweza tumia huo mchanganyiko wa septrine na vaseline????
  3. haidom

    JamiiForums Tanzania Madaktari waliogundua vipandikizi vya kansa kwenye chanjo wameuliwa

    mkuu Deception ninahitaji msaada wako kiongozi...please nakuomba uniPM pindi utakaposoma ujumbe huu...
  4. haidom

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ulimi unakama fangasi na koo kavu

    hongera sana....
  5. haidom

    JamiiForums Tanzania Giggy Money aja na SUPU

    haahaahaa
  6. haidom

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuanza kuota meno ya juu

    haya ni matukio ya kawaida tu..tena mie mwanangu alianza kuota jino moja juu na baada ya muda kidogo likatokeza jingine moja chini..kiukweli nkapata wasiwasi lakin badae yaliota yote vizur tu..kwahiyo usiogope mkuu..!
  7. haidom

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

    hongera sana penye nia pana njia...
  8. haidom

    JamiiForums Tanzania Ukilala usiku weka kipande cha kitunguu maji unyayoni upate faida kiafya

    shukran sana mzizi mkavu nami nitaijaribu....
  9. haidom

    JamiiForums Tanzania Yajue mafuta ya Miski na baadhi ya maradhi inayoweza kutibu

    huyo mnyama al ghazal ni yupi yaani kwa kiswahili aitwaje????
  10. haidom

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    wema alikua na umbile zuri sana alilojaaliwa na muumba lkn ameenda kuukosoa uumbaji ule binadam huwa haturidhiki na vile tulivyojaaliwa...tujifunze kurudhika kwan kila kichoumbwa kina makusudi yake ya kwanini kaumbwa hivyo....!
  11. haidom

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma sana, niliwaza mpaka kujiua kisa kupenda

    well said mkuu...subra ndo kila kitu, mshukuru mungu huenda amekuepusha na mengi zaidi ya hayo uliyoyapata...huyo dada hakua na kheri nawe kabisa..
  12. haidom

    JamiiForums Tanzania Nilimbikiri na alinizalia mtoto lakini sitamuoa katu

    utamu kolea haahaah...hadithi za abunuasi...!
  13. haidom

    JamiiForums Tanzania Leo naolewa

    hongera sana na nakutakia kila la kheri ktk ndoa yako moniccca...
  14. haidom

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu anakoelekea siko

    haahaah hii shape ni balaa sidhani kama watafiti watafanikiwa kugundua ni namba ngapi..
Back
Top Bottom