haidom
Member
- Apr 5, 2016
- 40
- 12
Just try, kuna watu kama watatu wameleta ushahidi wa kupona kwa hii dawa
je kama umetokewa na malenge lenge sehemu za siri waweza tumia huo mchanganyiko wa septrine na vaseline????????
Just try, kuna watu kama watatu wameleta ushahidi wa kupona kwa hii dawa
Hii unapaka sehem zote zilizo athirika?sehem za siri au kichwani?tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...
Popote unapaka hata mwili mzimaHii unapaka sehem zote zilizo athirika?sehem za siri au kichwani?
yep it really workedDuration ni mpaka upone, but within three days utaona mabadiriko, dosage ni septrin za buku changanya na bby care mafuta. Paka twice per day hasubuhi na jioni
BoraaaWewe unawaza kupigwa mti tu wakati mwenzako anaulizia tiba, ni wapi aliposema ana bwana?
Hii dawa inauzwa shilingi ngapi mkuu.Tafuta dawa hii itakusaidia mimi imenisaidia sana
Hii dawa inauzwa shilingi ngapi mkuu.
Mkuu,umenikumbusha fangasi wa pande hizo wakati nikiwa Minaki Sec. Luna dawa Fulani hivi tulikuwa tukipewa kwenye kizahanati cha while,nadhani inaitwa Whitefield.Ni Kali sana ukiipaka,yaani unahisi kama korodani zinachanwachanwa na nyembe.Ajabu ni kwamba nilikuwa napona vizuri nikiendelea kuogelea baharini.Waulize Pugu boys wazee wa Fungus watakupa jibu. Cheki na Next Level.....tehe teheee. Manake yale maji ya pond balaa....usipoangalia kitu inaweza kukatika
Ndiyo, ilifanikiwa. Endapo una tatizo hilo, Jaribu ili ujionee tofauti.VP mkuu hii tiba ilifanikiwa.
Mimi fungus zangu ni pumbu kuwasha, kadhalika miguu Nayo same time kuuuma mithili ya fungus.Ndiyo, ilifanikiwa. Endapo una tatizo hilo, Jaribu ili ujionee tofauti.
Nliwahi kutumia hii dawa, kwa takribani mwezi mmoja lakini badae tatizo lilirudi tu baada ya kuacha,.Twanga kitunguu saumu alafu paka hizo sehemu tatizo kwisha
Hasante, nasubiria msaada wako mkuuhabari yako!
pole na maswaibu yanayokupata !
tatizo kama hilo linawakumba wengi ila kwa ufupi ukiona hvyo ujue ni mapepo au visigo kwa lugha ya kigoma so ni ngumu kupona kwa tiba ya hospitali .
ngoja nishuke gari nikuambie Dawa.