Asili ni Dawa na Ponyo
Member
- Apr 30, 2016
- 54
- 28
Mafuta ya MISKI Yatokanayo na Mnyama AL GHAZALI
FAIDA ZA MNYAMA AL GHAZALI:
1.Faida ya kwanza ya mnyama huyu ni nyama
2.Faida ya pili hutoa mafuta ya misk
Sasa basi leo tutazungumzia juu ya faida na matumizi ya misk
FAIDA NA MATUMIZI YA MISKI:
Hali yake ina ujoto na uyabisi katika daraja la pili. Ina ladha na harufu tofauti na mafuta mengine mazuri. Inatokana na mnyama anaeitwa kwa kiarabu AL GHAZALI.
Namna ya kutofautisha Misk halisi na feki ni kwa kuonja ladha yake na kunusa harufu yake. Pia njia nyingine ni kwa kusomea aya za Ruqya kwenye misk halisi halafu ajipake mwenye matatizo ya majini, italeta athari na kama ni misk feki haiwezi kuleta athari.
Vile vile misk feki haiwezi kutibu maradhi ya kimwili kama vile maradhi ya ngozi.
MATUMIZI YA MISK KATIKA TIBA:
1) UBONGO NA MISHIPA YA FAHAMU: Kuna tiba iitwayo kitaalamu Aromatherapy. Maana yake ni kupata dawa kwa njia ya kunusa au kupata harufu yake kama vile kufukiza udi, misk huchangamsha ubongo na kuipa nguvu mishipa ya fahamu.
Utakuwa unanusa misk mara kwa mara au upate mvuke wake. Kwa kupata mvuke wake chukua bakuli halafu uweke ndani yake maji ya moto yaliyochemka halafu uweke ndani yake matone kadhaa ya misk. Sogeza bakuli karibu ya usoni mwako ili upate kuvuta mvuke wake.
Hali kama hii, mvuke wa misk utakuingia kupitia puani au mdomoni. Tiba hii inaitwa Aromatherapy. Ni nzuri kwa watu wenye kifafa, dege dege, kuumwa na kichwa, kizunguzungu, kutopata usingizi na kuondosha kichefuchefu. Pia huongeza kumbu kumbu.
2) RHEUMATISM: Ni dawa ya kuondosha maumivu ya miguu, ganzi na viungo. Ule ujoto wa misk huondosha maumivu ya mishipa, viungo, miguu, mgongo na kiuno.
3) MZUNGUKO WA DAMU: Husaidia mzunguko wa damu na kuondosha presha.
4)Kwa mwanamke inazidisha hisia na hamu ya tendo la ndoa. Pia ukipaka katika uke huufanya uke kubana kama vile bado bikra
5) HUONDOSHA HARUFU MBAYA: Kwa kuondosha harufu mbaya sehemu za siri (nyeti),makwapani au miguuni, jipake misk.
6) FANGASI SEHEMU ZA SIRI: Huondosha sehemu za siri mwashowasho na mapele.
MATUMIZI YA MISK KWA KUMDHOOFISHA AU KUMFUKUZA JINI WA MAHABA:
Kwanza kabisa misk isomewe aya za Ruqya, kisha mgonjwa mwenyewe ajipake kila siku asubuhi na jioni viungo 32 vya mwili wake.
-Tundu mbili za pua.
-Tundu mbili za masikio.
-Kope mbili za macho.
-Mdomoni kama vile mfano wa lipstiki.
-Chuchu mbili (mwanamke anaenyonyesha asipake)
-Sehemu za siri mbele na nyuma.
-Kitovuni.
-Mbele mwa kucha zote za vidole 20 vya mikono na miguu.
JE UNAPENDA KUONGEZA UWEZO WAKO WA KUMBUKUMBU?
Mafuta ya Misk hufungua mishipa ya fahamu na ubongo kwa kiwango kikubwa sana na kuupa ubongo uwezo mkubwa wa kufikiri.
Kwa maelezo ya jinsi ya kutumia na uchanganyaji tuwasiliane Insha allah tutasaidiana. nitumie meseji INBOX nitakujibu au whatsapp namba 0712770729 pia meseji za kawaida napokea.