mismo como mismo
Member
- Feb 5, 2016
- 12
- 7
Mimi ni mjamzito wa miezi tisa(9) ,ni mgeni hapa ,tatizo linalonisumbua ni kuhusu ulimi ,yani napata shida umetokea na kama fangasi ,kooni nasikia ukavu.
Mwanzoni kabla sijajiunga nilikuwa nafatilia hili jukwaa na post za mzizi mkavu akawa amesema kuhusu maswala ya vitunguu swaumu ila vimenishinda kula ,alafu pia nlisoma kulingana na hali yangu si vizuri kuvila.
Nimeenda hospitali nikaandikiwa Dawa ila sema zenyewe zikanifanya nitapike hivyo nikaacha yani hazipiti kooni ulaini wake nikama Yale ma gel fish arufu ya mende.
Sasa hapa natumia asali na mdalasini ,haijaniponesha ila atleast zile fangasi na utando zimepungua.
Hivyo nilikuwa naomba ambaye anajua hata Dawa nzuri ya mswaki ambayo inaondoa hizi fangasi na utando na huu ukavu wa koo manake vinanikera.
Nahitaji msaada wenu, sina UKIMWI,pia naomba mnijibu serious hata kama ni mouth wash au hata Dawa ya asili ambayo haitakuwa na madhara kwangu.
Asanteni mungu awabariki na samahanini kwa gazeti.