Recent content by hafidhia

  1. H

    JamiiForums Tanzania Malipo ya sensa

    Nadhan ulikuwa unamaanisha hadi 15 August Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania “Kufanikisha kazi si lazima niwepo” - Rais Xi Jinping wa China

    Huyu rais ni mtu Bora kweli kweli, Ana mambo mengi sana kafanya ahsante Kwa kushare nasi Kwa uchache haya mafanikio yake Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka odd2 tujilipue Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Mi nadhani sio nyepesi labda kama unafanya analysis za kawaida.Na inategemea na mtu pia wewe unauzoefu nayo lakini kuna watu ile wanaiyona tu hawajui wafanye nini.Tena wapo wengi tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Aende akapate somo kwa hao jamaa.you tube anaweza asiambulie hata kidogo.SPSS sio package nyepesi hivyo
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  7. H

    JamiiForums Tanzania The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Mkuu mimi nimekuwa nikiitumia hii lakin kwa yule anaenza . Nilikuwa sifaham kama ukipewa project kuna pesa ambayo unaitoa then baadae wanasema wanairudisha.nkapatwa na wasiwasi kidogo imekaaje hii
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

    Mzee anayokwambia ni kweli kabisa hiyo 500 kiwanja ni sahihi kabisa bila tatizo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

    Ni ajabu sana mtu unasema wazi wazi kuwa liverpool wanafungwa, na unajua kabisa sio kitu rahisi no one from any direction can stop us Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    hatar sana
  12. H

    JamiiForums Tanzania Reccomendetion letter

    Mzee mbona sikuhiz kila kitu kimekuwa simple sana.lakin nadhan hii iliiwe realistic lazima aandike yule anaekufaham vizur kabisa utendaji kaz wako kama ulishawah fanyakaz sehem nyingine hapo awali au mkufunzi wako.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Data Entry Software

    All mentioned are good but please dont forget to use access or database if ur really capable of using
  14. H

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua na Mayweather haitotokea wakapigana

    Haiwezekani kabisa Ndugu zangu. Floyd anapenda maisha yake kitakachotokea ni kitu kibaya sana kama Floyd akijaribu kupigana na joshua Sent using Jamii Forums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika research

    Inaonesha tayar anajua problem, negative perception. Hili neno sidhan kama lilihitajika sana
Back
Top Bottom