mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Kabuli
Yalivyokuja ya pili ukapasua zaidi ?me ni mmoja ya waliopasua pepa kabla ya kufutwa yale matokeo ya kwanza
yeah nilimaintain.., ila hesabu waliniongezeaYalivyokuja ya pili ukapasua zaidi ?
watu wanaulizia malipo hata kuchaguliwa bado
Malipo muhimu kujua hata kabla ujaomba kabisa sio kuchaguliwa.watu wanaulizia malipo hata kuchaguliwa bado
Uwage unasalimia sasa..Uzi wa 2012 huu niko form 3 wakati huo![]()
Sawa brazaUwage unasalimia sasa..
Semina siku 5???Kweliii, leo kwenye usaili nimeulizwa uko tayari kuhudhuria semina ya siku 21 kuanzia tarehe 29 sasa wewe hizi siku 5 zinatofauti gani na swali nilililoulizwa???
Siku 21 zote hizo!! Ni kozi au? Wiki tuu inatoshaSemina siku 5???Kweliii, leo kwenye usaili nimeulizwa uko tayari kuhudhuria semina ya siku 21 kuanzia tarehe 29 sasa wewe hizi siku 5 zinatofauti gani na swali nilililoulizwa???
More money mkuu hata wakiweka mwezi fresh tuSiku 21 zote hizo!! Ni kozi au? Wiki tuu inatosha
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Ndivyo hivyo, semina ni siku 21. Zoezi zima ni kuanzia tarehe 29 july hadi 15 september.Siku 21 zote hizo!! Ni kozi au? Wiki tuu inatosha
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Nadhan ulikuwa unamaanisha hadi 15 AugustNdivyo hivyo, semina ni siku 21. Zoezi zima ni kuanzia tarehe 29 july hadi 15 september.
Chanzo: Moja ya swali la usaili.
Namaanisha September.
Syo kwelHaizidi 500000
nikasema Nipo tayar sasa semina mwez hadi wa 9 Inamaana sensa inapelekwa mbele au??YesNdivyo hivyo, semina ni siku 21. Zoezi zima ni kuanzia tarehe 29 july hadi 15 september.
Chanzo: Moja ya swali la usaili.