Recent content by Hae Mosu

  1. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Ofisi ya Utumishi Karagwe

    We ni kichaa kaka😁😁😁😁
  2. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Ofisi ya Utumishi Karagwe

    Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi. Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
  3. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari! Kuna tatizo Gani linalochelewesha verification ya vyeti? Ni Karibu Mwezi mzima mmeshindwa kuhakiki vyeti vilivyotumwa kwenye mfumo. Changamoto ni nini?
  4. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    Unachosema unaweza kuwa sahihi lakini swali langu kwako ni kwamba "Ile misaada ya silaha Kwa Ukraine, mbona Bado inapelekwa Ukraine ilhali wamepeleka misaada mingi sana?" Je unadhani Kwa nini wanajitahidi kupeleka madege ya kivita, vifaru n.k lakini Bado inaonekana Kwamba haijakidhi mahitaji?
  5. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Huyo ana mwanaume mwingine swali ni kwamba "kama alikublock kwa bahati mbaya Kwa nini hakuwaza kukupigia?"
  6. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Kilio kwenu mama samia na waziri mkuu majaliwa

    Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE. Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
  7. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kamba
  8. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

    We ni wa kike au wa kiume?
  9. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Vatican inamiliki dunia

    Acha uongo bhana shirika la Jesuit lilianzishwa miaka ya 1500 .....MUD aliishi lini?
  10. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua za haraka Wizara ya Elimu mambo yanaharibika

    Andiko zuri. Nadhani kifuatacho ni ufuatiliaji wa hay
  11. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Ardhi Mwanza haishikiki!

    Buhila ni njia ya kuelekea kiseke Kabla ya Nsumba
  12. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI na upendeleo uhamisho wa walimu Karagwe

    Ni kweli hii.
Back
Top Bottom