Recent content by Hacha

  1. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Get well soon comrade Dr!! Ila mimi nimesikia anaenda Nairobi.
  2. H

    JamiiForums Tanzania MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA (Tafadhali isome yote, ingawa ni ndefu)

    MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA Adui wa Waislamu ni utamaduni wa kiarabu wa Ghuba  Ukristo, ama Uislamu na serikali si tatizo katu! Na Mobhare Matinyi, Washington DC Naomba nichangie hapa kama Mtanzania - na si kama mwislamu au mkristo au mpagani. Mosi, ni kweli kwamba kitabu cha...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Samsung digital camera pl121 megapixel 14.2

    Naitaka, ni-PM
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi yaliyojificha nyuma ya uchomaji makanisa Unguja

    Huenda kuna ukweli wa thread hii!!! Labda ndiyo maana serkali imesema itayajenga upya makanisa yote yaliyochomwa kwa gharama zake maana inajua iko 100% responsible!! Usicheze na UWT (TISS)!! With it, everything is possible under this sun, except kuumba mtu!!!
  5. H

    JamiiForums Tanzania @invisible ...nina access na jukwaa la mmu tu sioni majukwaa mengine kwa nini

    Hata mimi inanitokeaga, but momentarily
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waunguja wawabagua Wapemba

    Hamna lolote!! Kazi ya TISS hii!!!
  7. H

    JamiiForums Tanzania CCK kujaribu kuzuia mchakato wa Katiba Mpya...

    Nadhani wana point, lkn bahati mbaya mahakama zetu siyo huru
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Tanesco wataja mafisadi

    Hapo sasa patamu!! Waziri Murraa, Katibu mkuu Murraa!!!!! Yetu macho na masikio!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa hili kuhusu Blackberry!

    Na mm natumia samsung galaxy Gio, sijui nayo ni smartphone na inatumia android???
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wasema Muungano umewadhoofisha na kuwatia ufukara, ni bora maisha ya nyuma kuliko ya leo

    Hapo kwenye RED!! This is typical arabic culture which they have foolishly embraced, thinking it is part of islam!!!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Benki ya Vijana ya CCM kuanzishwa

    Mbinu za kujaribu kuwa-win back vijana!!! Too late!!!!!!
Back
Top Bottom