Recent content by habibu bakili

  1. habibu bakili

    White House cancels Obama's African safari after plans are revealed to include military SNIPERS!

    dah kuna mtu amepost alafu ameelezea kama yani the whole visit imehailishwa.. kumbe its just a safari.!!
  2. habibu bakili

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    sijasoma hiyo post yote! (ntaisoma baadae) ila nyakati zilizo influence nyerere aseme hivo zimebadilika sana.. kwasasa hivi serikali tatu is inevitable..
  3. habibu bakili

    Bajeti hii inamsulubu mwananchi wa kawaida

    bussiness as usal?????
  4. habibu bakili

    Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

    hujaeleza kwanini prof. lipumba?
  5. habibu bakili

    Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

    MANENO MAKINI, KUTOKA KWA MTU MAKINI.! pole sana lwaks.. nimedondosha machozi, seriously.! kwakweli hatuna choise zaidi ya kuondoa mfumo na chama hiki dhalimu madarakani... tusikubali kuona taifa letu lina megeka vipande vipande kutukana na udhaifu na tamaa ya watu wachache.. HAKUNA KULALA MPAKA...
  6. habibu bakili

    Kinana amburuza Msigwa kortini

    nina kila sababu ya kuamini kuwa hii haikuwa the right move kwa mzee wetu Kinana.. nina amini kabisa mchungaji Msigwa hakukurupuka kutoa shutuma nzito vile tena ndani ya bunge! kwa wale ambao mna access tafuta zile hansard za bunge za siku ile ilikuwa hivi... baada ya Msigwa kutoa shutuma zile...
  7. habibu bakili

    Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

    hahahah dah we jamaa mikisomaga post zako huwa nacheka sana.!! anyways naskia mchele umeshuka bei
  8. habibu bakili

    Kwa Katiba ijayo hata Mbunge wangu Mnyika anaweza asipate ubunge!

    duh.! inaonekana hata rasimu yenyewe hujui inasemaje ngoja tukusaidie: ubunge unatakiwa uwe na elimu isiyopungua form IV Uraisi ..>>> shahada
  9. habibu bakili

    Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

    Hili la kanda limewatisha na lita zidi kuwayeyusha kama bonge la barafu kwenye jua moto wa hizi kanda umeshaanza kuwaunguza na sasa wameanza kuweweseka!!
  10. habibu bakili

    Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wapokelewa kwa shangwe Mbozi

    nchemba ana siasa za kwashakoo maono hafifu mikakati duni mbinu za karne ya 19 na fikra duni! napata wasiwasi sana na upeo wa mwenyekiti wake aliyemkingia kifua mpaka akapewa nafasi hii ya unaibu katibu mkuu.!???
  11. habibu bakili

    SISIEM-mfa maji.!

    ugaidi.!???? we subiri tu uone hii ishu itakavyo-backfire.!!!!
  12. habibu bakili

    Maswali muhimu ya kujiuliza kufuatia mkutano wa CCM Morogoro leo

    watoto wa town tulikwenda kumcheki diamond tu pale, atleast he knew what he was doing there.! hao wengine walibaki wanabwabwaja tu cdm, cdm, cdm, cdm, cdm.! mpaka tukajiuliza hivi lengo la mkutano ni nini hasa.! (well i was the one asking myself that coz baada ya diamond kushuka kwa steji na...
  13. habibu bakili

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    aibu ilianzia jana, kwani kutokana na hofu ya watu kutojitokeza katika mkutano huo, gari la matangazo lilizunguka mji mzima lilikuwa likirudia kuwa ''msanii diamond atakuwepo kutoa burudani'' naamini hii ilikuwa ili kuwavutia ''watoto'' wajae.! leo toka asubuhi mbunge wa morogoro mijini aziz...
  14. habibu bakili

    Godbless Lema live Channel Ten

    thanx mkuu, ubarikiwe kwa kutujuza hayo.!
Back
Top Bottom