Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,861
- 18,142
Anachokifanya Kinana ni kuwazuia CHADEMA na watetezi wa kuzuia ujangili kuendelea kumtaja kama mmoja wa wahusika wa ujangili ndani na nje ya Bunge kwa kisingizio kuwa shauri liko mahakamani na hivyo kutoingilia uhuru wa mahakama!nia yake si kumfunga msigwa bali anataka haya mambo ya ujangili yasiendelee kuongelewa. mia