Recent content by gzi

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    P Pale hamna bandari Geza ni majahazi zaidi ni Beach.Hatuna uwezo wa kupaendeleza sioni kwa nn tuzuie wenye uwezo wa kupaendeleza.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Huo ndio ukweli, kukumbatia raslimali kwa wivu hatuwezi kutoboa
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wengi tunafikri uzalendo ni kusifu kupongeza na kumpamba kiongozi, so sad! Pro.Lumumba anasema ukiona mtu anatumia mda mrefu kueleza alichofanya huwa hajafanya kitu kwa kuwa kitu kilicho fanyika huwa kinajieleza chenyewe!
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Miaka mingi imepita hii ni campaign 2015 watu wanatafuta kura now 2025 how many years.Mambo yamebadilika sana hakuna mtz anafikiria kupeleka mtoto wake Kenya 🇰🇪 kutafuta elimu.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mheshimiwa Rais kaisha tangazia dunia Tanzania ina export zaidi Kenya kuliko inavyo import.Hivo haina maana kuwa hakuna chochote cha Kenya kwenye maduka ya bongo.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi DMDP ina shida gani hatuoni daraja hatuoni mto Msimbazi mwenye taarifa pls!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila, Dira ya Taifa imeelekezwa Bungeni Ili kuwekewa ulinzi wa Kisheria, hatutaki kila Kiongozi kuja na Dira yake

    Sijui dila kama imezingatia mabadiliko ya tabia nchi.Vipaumbele vinabadilishwa na technology.
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbuka 70%ni ya kuhudumia viongozi,kinachobaki ndo kinahudumia maendeleo!
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Na usafi unala kusema!
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapa ndipo sipati picha eneo size ya Kigamboni linawezaje kuwa na barabara km 7000 za rami,haiingii akilini
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mganda anachotaka ni alternative route na kwenye efficiency hata ukifikisha sgr Kampala halazimiki kuitumia
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hakuna mtu mwenye akili atajenga nyumba ya mlango mmojo, wakati Mombasa ni jirani zaidi wanapitisha mizigo yao mingine Dar wanajua athari za kutegemea njia moja isiyokuwa yao.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapa asilimia kubwa ni vipanya.
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo ni hasara ya taifa lkn kwa wanasiasa ndio nafasi yao kupiga hela.Walisha jadili mapema!
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hivi hapa unaweza pata angalao barabara 10 zenye km 500? Tusaidiane.
Back
Top Bottom