Hii habari ipo skysports na pia bbc. Hivyo vyombo vya habari vina network kubwa kuliko wewe. Angalia tu list ya pundits, players, veterans wa epl, coaches, na experience iliyotukuka utajua nani wa kuaminiwa kati ya wewe. Alafu unapaswa kuelewa kuwa transfer news are very confidential. Hivi leo...