Mwaka huu nataka kuwa natumia si zaidi(almost) ya saa moja kwa siku kwenye mitandao ya kijamii

Gwayema

Member
Nov 16, 2016
53
72
Mwaka huu nimekuwa nikitumia masaa 3 mpaka manne katika mitandao ya kijamii hasa JamiiForums, facebook na Linked in.

Sina account zaidi ya hizo katika mitandao ya kijamii lakini nimekuwa nikitumia muda mwingi katika JF, fb na Linked in.

Nataka mwaka huu niongeze muda wa kusoma vitabu zaidi na kutumia maarifa hayo kwenye maisha.
 
Si kila mtandao wa kijamii ni wa hovyo. ukizungumzia jamii f ati uwe unaisoma kwa muda mchache naweza sema bado hujajua mazuri yaliyomo humu. kaa,tulia na tafakari kisha chagua majukwaa ya kutembelea kisha ndo utajua ni kwa nini unatakiwa utumi muda mwingi Jf.
JF ni zaidi ya vitabu.
 
hayo mavitabu nimesoma lakini jf kiboko uhalisia halisi wa kwenye jamii msaada mkubwa nafikiri africa nzima kila nchi walau kuna member mmja ..
 
Back
Top Bottom