Kwanini replacements zote ni UDSM?

Kwanini replacements zote ni UDSM?

Tuchukue mfano mdogo tu, Makamba akiwa mkuu wa mkoa wa Dar alikuwa vizuri sana kwenye ile nafasi ila baada ya kutolewa pale na kupelekwa kuwa katibu mkuu CCM alipwaya sana kitendo kilichomharibia sifa na kuamua kustaafu
Kwa hiyo uongozi au kusimamia idara siyo lazima uwe na GPA 5 au 4.5 au uwe DRs, ama PROF
 
Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Asilimia kubwa wamemalizia pale kwa sababu ni chuo kilichoanzishwa muda mrefu uliopita. Au unataka kulinganisha UDSM na chuo kama UDOM cha 2000's?
 
Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?

Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. Kwa awamu hii nadhani zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!

Mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Walikuwa wakosoaji sana wa awamu zilizopita
 
Huko ndiko wanajua siri ya ile Thesis ya mkuu ilipatikanaje, wanapozwa ili wasije wakabumburua ikajidhihirisha tuna mkuru ana dude la kufoji (dude la PHD) kama ambavyo Ben saa8 alivyoweka dhahiri
 
Hivi bado kuna watu wanaamini kuwa elimu kubwa INA reflect uwajibikazi na ufanisi wa kazi...Andrew chenge ni msomi wa chuo cha Harvard moja ya vyuo bora vitano duniani ila ni miongoni mwa watanzania ambao wameitia hasara nchi yetu..
 
Magu anafanya mambo hovyohovyo sana nashangaa kwa nn mijitu mingine hapa inamtetea.
 
Mheshimiwa ana PHD kwahiyo anaamini waliofikia kiwango hiki au zaidi ndio wanastahili nafasi hizi, sioni ubaya wa hilo ila sisi wananchi tuweke vigezo vyetu mfano mpaka 2020 ajira ngapi zitakuwa zimetengenezwa, asilimia ngapi ya wananchi watakuwa wanakunywa maji safi na salama, umeme, huduma za afya, barabara, makazi bora na nafuu, milo mingapi, gharama za maisha na chakula n.k.

Angalizo:
According to Geological Survey of Tanzania (GST), who is a government agency, Tanzania has million tonnes of Iron ore, Gold, Copper, Nickel, carats of Diamonds, Tanzanite and tonnes of Coal. We also have Uranium and Helium gas.

Wasomi wetu hawa wasipotutoa hapa tulipo tukafikia angalao bajeti ya Kenya au kuwapita basi nitashangaa sana kwa mbwembwe zao.
 
Magu anafanya mambo hovyohovyo sana nashangaa kwa nn mijitu mingine hapa inamtetea.
Kwa wewe hata afanye nini hatakuridhisha maana ulishalishwa unga wa ndele, angefanya wa upande wa pili ungekubali
 
Kwa wewe hata afanye nini hatakuridhisha maana ulishalishwa unga wa ndele, angefanya wa upande wa pili ungekubali
Mkuu mm cna chama na huyu jamaa nilikua namkubal ila sasa kila kitu anachokifanya anachemka.

Najua ww unajikomba kwake ili akupe cheo huko chaman kwenu. Acha upumbavu mkuu usitumie makalio kwenye sekta ya fikra
 
Yaani utadhani phd zinafanya kazi. Binafsi nafikiri raisi anatakiwa awe makini zaidi. Nina wasi wasi na teuzi zake.
DUDE,uko sahihi, sana katika history memory maprofesa, ma -dokta,katika nchi hii walioshika wizara mbalimbali,walidororesha sana wizara zao,(af dude woote unawakumbuka,wataje)AS A RESULT THEIR LEGACY AND HISTORY MEMORY TO THIS COUNTRY HAS DWINDLED DRASTICALLY, ukienda kimataifa,obama mwenyewe ni profesa,lakini marecani imemshinda
hadi ameiingiza nchi yake katika racial discrimination WATU WANAUWAWA KWASABABU YA UBAGUZI WA RANGI,ivory coast, pia ilikuwa na laurent( Fr name lora)Gbagbo,huyu alikuwa ni profesa wa history katika UNIVERSTY OF IVORY COAST,tazama aliongoza vibaya na kuingiza nchi kwenye turmultous resistance ,dude you are awesome,yup
 
Mkuu mm cna chama na huyu jamaa nilikua namkubal ila sasa kila kitu anachokifanya anachemka.

Najua ww unajikomba kwake ili akupe cheo huko chaman kwenu. Acha upumbavu mkuu usitumie makalio kwenye sekta ya fikra
Kwa kutukana tu nilishajua we ni chama gani, maana ndio wana sifa hiyo kuu ya kutukana. Hata hivo hawezi kunipa cheo maana Id yangu haijui ila mnatuaibisha sana kwa mlivokosa uzalendo kila kitu anachofanya mnapinga
 
Back
Top Bottom