Tatizo moja vijana wengi wanawaona viongozi wa CHADEMA kama miungu watu hata wakipewa ushauri wanapinga, hiyoo yote ni njaa zao ili kuwafurahisha Mbowe na Slaa,vjana tupunguze njaa na kujikombakomba kwa wakumbwa, CHADEMA ni chama cha watanzania na si Kamati kuu au Mbowe na Slaa ni nani ndani ya...
Mwacheni zitto aitwe zitto tatizo la viongozi wanamwona zito kama threat kwao muda wote wanamuwazia mabaya2 bt zito will remain as a hegemonial figure of CDM
Kiukweli sishaangaii CCM kubomoka kyela kwan mambo mengi ya kimaendeleo yamesimama wamebakia kumsifia Mwakyembe na km 3 za barabara ya ipinda.Watu wa kyela tumelala leo hii ukienda kilasilo,mbako,ibungu,mpka mwigo maji ya bomba ni hadithi yanatumika boda kasumulu.Shule kongwe ya ITOPE SEC...
Napata wakati mgumu na kizunguzungu ninaposikia wanasiasa wanatangaza huo mkakati wa BRN kwa mbwembwe na porojo, hv tunataka big result wapi? ndugu zangu naombeni ufafanuzi coz hii serikali CCM imewehuka!!! Tunataka big result kwa Waalimu ambao hawajui hatima yao ya maisha? mazingira ya...
Watanzania wengi wana matatizo ya uvivu wa kufikiri ndyo maana hata mtu akitoa mawazo yenye manufaa tunajenga hoja za "mipasho"(zisizo na tija).Katika mawazo ya "zito he is right" huwezi ukaona machungu na adhaa ya mtwara kama hujaishi mtwara,viongozi wa serikali wasilete bla blaa huku mtwara...
Ni afadhali ukafa ukijua ulikuwa unatetea maslahi ya umma kuliko ukaishi katika lindi la umaskin huku watu wachache wakifaidi matunda ya nchi.Wana mtwara msikubali kuchangia bati jiran wakat nyie mnaishi kwenye nyumba za nyasi.Mtwara kwanza!!!!
Huu ndiyo upuuzi wa akina ben na wenzake baada ya kujenga chama mwisho wa siku tunakaa jamvin kujadili migogoro ya chama,there is a need to build a party ethics from the root baadala ya hawa vijana wenye kulewa madaraka na wasio na utii kwa viongozi wa chama.
Jamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM Mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya Mnyambe,Kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata...
Kinachosikitisha zaidi wabunge wao wengi wapo kwenye vyombo vya maamuzi(mawazir) lakini hawana jipya kwa wananchi wao.Mbaya zaidi Madiwan wengi darasa la nne au nane, wenyewe n ndiyo CCM wamesahau wajibu wao kwa wapiga kula wao.Wananchi wanatia huruma na kofia na tshirt za CCM zilizotoboka...
Kwa mtu aliyetembelea na kuishi mikoa ya kusini atakubaliana nami kuwa maisha ya mikoa ya Mtwara na Lindi ni karibu na "jehanamu."Nasema hivyo ni kiwa na maana ya kwamba Wananchi karibia 90% hawapati huduma za kijamii,mfano
1:MAJI suala la maji huko Mtwara hasa halmashauri za Newala, Masasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.