Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,546
- 272,273
Ushauli wa bure kwa Dr. Mwakyembe kwa umaarufu wake namuomba 2015 asijaribu kugombea tena kwani atauporomosha umaarufu wake maladufu sisi kweli hapa Kyela hatutaki tena ccm hata kwa AK47 huku kwetu Matema beach tumejipanga zaidi kumuondoa mkoloni mweusi ccm.
asanteni sana wanakyela tunawashukuru sana , kuikataa ccm ni sawa na kumkataa shetani .