RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

RAI: Mustakabal wa CHADEMA - CHADEMA and the way forward

Jamaa katumia pesa yao nyingi kashindwa kuiua cdm. wanamtafutia sehemu ya kutokea.
zitto akirudi chadema najitoa cozi amejidhihirisha ni mchumia tumbo
 
Sasa maelezo ya kuwa nje ya Tanzania yananisaidia nini mimi,, we unajua mm niko wapi?... Hakuna mgogoro kwa hao uliowataja... Zitto, Samson na Kitila wamechukuliwa hatua na CHAMA... Wamevuliwa vyeo/uanachama kwenye vikao halali.... Sasa ugomvi uko wapi....? TYaani chama kinavyofanya maamuzi yake unasema kuna ugomvi... Basi kukaa kwako nje hakujakusaidia


Inawezakana nje yako Shelisheli/ au visiwa vya Comoro....


Nakubali. Kutokuwepo kwangu Tanzania hakukusaidii kitu.

Lakini kutoa maoni yangu huru kama mTanzania ni wajibu wangu. (Hivi nikahamia Shelisheli au Komoro ninaweza kupata mshiko wa CCM au CDM? - Just kidding).

UGOMVI: Nimesema kuna ugomvi kwa sababu Zitto yuko mahakamani, Mbowe anajipanga kwenda mahakamani, sasa kama hakuna ugomvi hizi kesi ni za nini?

Sasa fikiria. Kama wewe ni dume na jana hukurudi nyumbani usiku kucha. Pengine una maelezo mazuri kuwa ulilala kwa swahiba wako KIFYATU kwa sababu kinywaji kilikuzidia. Kama mama mwenye nyumba (wife) akisema BASI YAISHE - sawa, lakini akiyapeleka mahakamani au kwa wazazi na kutafuta talaka (divorce), hapo kuna UGOMVI.
 
dawa ya wasaliti kam zitto ni kuwasigina tuu ni nyoka hawa.

Tuchukulie kuwa unachokisema ni sahihi.

Unajua kuwa NYOKA na sumu zao ndio chanzo cha tiba za kisasa (syringes, blood thiners, etc). Tungewaua nyoka na viumbe vyote vinavyotuathiri tusingegundua tiba nyingi tunazozitumia sasa.

Fikiria.
 
Kifyatu kamwambie aliyekutuma kachelewa,hiki ni chama sio pango la wahuni na wasaliti

Haya mkuu. Lakini sio kila mshauri wa CDM katumwa. Kama CDM hakitaki ushauri sawa.

Unajua tusi kubwa lillilomuudhi baba wa taifa (Nyerere) ni kuitwa "HAAMBILIKI". Sitaki kufikia utusi huo kwa CDM.

GOD-speed.
 
Mtoa mada wew ndio hao plan yako ni kukizamisha chama mimi ckubaliani na hoja yko njoo na new plan wew ni ccm.

Sawa mkuu. Mimi nilikuwa nafikiria tu mustakabal wa (future of) CDM. Ni wazo, sio shurti.
 
Hili sikubaliani nalo, kabla ya majadiliano yoyote Slaa na Mbowe waachie ngazi kwanza then reconciliation meeting

Tunajuwa njama zenu.....hawaondoki ng'o.....mnataka waondoke ili mpate uchocholo wa kupenyeza mamluki....hamna hiyo nafasi.....CCM mmeshikwa pabaya,mkitikisika tu......
 
umekosa lakufanya? ccm yako huioni? unaweza sema nawewe unaakili timamu kwa huu upuzi wako ulioandika? kaishauli ccm ifanye hayo ili iendelee kutawala.

Mimi ni mtoto tu na ninasema MFALME HANA NGUO, MFALME HANA NGUO - (YUKO UCHI). Kama mnafikiri ni mama ndie alieniambia niseme hivi sawa. Lakini angalieni, hivi mfalme amevaa nguo kweli?
 
Tatizo moja vijana wengi wanawaona viongozi wa CHADEMA kama miungu watu hata wakipewa ushauri wanapinga, hiyoo yote ni njaa zao ili kuwafurahisha Mbowe na Slaa,vjana tupunguze njaa na kujikombakomba kwa wakumbwa, CHADEMA ni chama cha watanzania na si Kamati kuu au Mbowe na Slaa ni nani ndani ya siasa aliye msafi?????
 
Hawa kila cku mnaokuja na sera za suruhu mbona huw hamgusi makosa halis ya zzk?
mnaongelea ju juu tu ooh cdm co mbowe,zzk wala slaa, ndo mana weng wanawaona ni wa lumumba wenye muono huo coz hamtak kuzama deep na kuanika usumbuf wa zzk tangu 2007 mpk leo.
zzk na nyendo za mashaka ktambo xn hata ambao hatupo ktk siasa tunayaona hayo.
hajishughulish na wenzake ama ndo kwmb yey jesh la mtu mmoja? hii n dhambi pia ktk chama,
bt pia amekuw haish chokochoko hasa akitumia social networks wakt yey ni kiongoz wa juu kabsa ktk chama.
na wala hajal chama knakufa ama hakifi, anajiita msomi kijana na hanunuliki lakn matendo yake hayaakis hata kdogo sifa anazojpambanua nazo!
ufike wakt 2mwambie ukwel kwamba anawavuruga wapenda mabadiliko.
ni kpnd cha kujiandaa na chaguz mbalmbal bt yy ni kil cku fb kuwananga wenzie.
bnafs namuona ni zaidi ya msaliti,na dawa pekee ni kumuondoa kwny safina,kama kukanywa kakanywa sana wala hajawah kukoma.
yey ni msomi,ana misimamo,ni kijana bas aunde chama chake ama ahamie kwingne anakoitwa!


Nimekusikia mkuu. Lakini haya tuyafanye ndani ya chama nasio hadharani - inadhalilisha.
 
suluhu na wasaliti ni zaidi ya usaliti,tusonge mbele kuna program nyingi za kufanya kama chama.hili limeshaisha,chama kikirudi nyuma mtatuangusha wengi huku mtaani,hakuna ambae hajui usaliti na undumilakuwili wa zito and co.tusonge mbele jamani,dhamira ya zito ilikua mbaya sana kwa chama
 
Jamaa katumia pesa yao nyingi kashindwa kuiua cdm. wanamtafutia sehemu ya kutokea.
zitto akirudi chadema najitoa cozi amejidhihirisha ni mchumia tumbo
Remind me again WHO IS TALKING?
 
Hivi sasa viongozi wa cdm hawasikii hawaoni hawambiliki vichwa vyao vimejaa maji tusubiri mtiani wao mwezi 2 kwenye ucjaguzi mdogo chama kikipata asilimia ndo watajirudi na wataomba ushauri na kuwambiwa tazama sisi kazi yetu ni kwenye box tu
 
Usuluhishi wa nini! na ni kwanini wajinga wanahusisha viongozi na Zito! kwani kamati kuu ni Mbowe na Dr Slaa! Ni ujinga kutaka suluhu ktk hili mbona liko wazi! Hivi nani atakubali ccm iwaapangie cha kufanya CDM!


2015 - Tafakari.
 
Wasaliti ni watu wa kuogopwa sana. Zitto aliponea chupuchupu kwenye ishu ya shonza na mwampamba. Nikajua kajirekebisha. Akaacha jina la cobra baada ya kuona lishafahamika akajiita MM. Ule ndo ulikua muda wa kujirudi. Yeye ndo chanzo hadi shonza na mwampamba kufukuzwa kwani alikua akiwadanganya. Akaja na maneno ya aibu eti atakae niua hata panya hatasalia kwenye ukoo wao. Inafika wakati hata uchawi haufanyi kazi usaliti unapozidi.
Pongezi kwa Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom