Habari wadau,
Ninashamba la ukubwa wa ekari 10 lenye rutuba nzuri na yakutosha linalofaa kwa mazao kama nyanya, vitunguu, mahindi, matikiti, mapapai, machungwa na migomba. Shamba lipo kilosa morogoro. Shamba liko 5km kutoka barabara ya kilosa dumila ambayo inalami na shambani panafikika mwaka...