kachelewa mpira upo bungeni, huko ndo lazima mshindi apatikane, hata kama raisi atakubali bado kiporo cha maazimo 23 lazima kiishe na mbaya zaidi wanavyozidi piga chenga ndo muda unayoyoma, bao hawarudishi, alas! uchaguzi huo 2010, image haisafishiki, sijui mhe. atanadiwa na nani, wapambe...