Lowassa hakuonewa; alichelewa kujiuzulu! -

Kujiuzulu kwa lowasa kunatokana na mojawapo kati ya mambo haya:
kwanza viongozi wetu wengi hawajui management and deligation of powa. ni aibu kwa waziri mkuu kuvunja sheria. na ni rahisi kwa wahuni kukuingiza mkenge kwani watu wanacheza na crisis na kukuingiza kingi.
pili staili ya uongozi ya lowassa kufokea watu hazarani kulijenga chuki na watendaji wengine (chukulia mfano wa mkuu wa wilaya ya nyamagana mwanza) alimwabia lowassa asimfundishe kazi hazalani yote haya yanasababisha watu wejenge chuki nae.
tatu bungeni alikuwa anawapelekesha wabunge wenzake si kwenye vikao vya wabunge wa ccm na si bungeni kwahiyo walipopata opportunity na kupumua wakapumua nae.
Halafu, yale maamuzi yalikujuuzuru alikurupuka, si unajua viongozi wengi wa tz wanawaza kwa kutumia feeling (hisia) zaidi kuruko ubongo.
hou ndo mchango wangu, nawakirisha
 
hatuwezi kumfananisha EL na mtu mwingine yeyote ktk utendaji...kama ni standards tutatumia strength zake na opportunity alizowai kuzipata, so to compare him with other person its poor analysis

namaanisha kama kweli ni mtendaji basi that is good! BUT utendaji na udokozi kamwe hauvumiliki....NENDA LOWASA unaturushia st**
 
kitu gani EL alifanya mpaka tukakiona cha maana? mtu kama magufuli unaweeza sema?Me nilichokiona kwa EL ni ubabe wakufokea watendaje serikalini hadharani na kutuingiza kwenye richmond. Yani hata msabaha awe mjinga akanyoosha mikono?Nakusema anaonea, ile ilikua deal ya RA na EL. Huyu jamaa hapaswi hata kutetewa, na namshangaa Rev Kishoka anavyojitahidi kumkosha.
 
Wakati nasubiri kuisoma makala yako nikiwa nimetulia. pamoja na kuhusika kwake kote, principle za natura justice is 'no one is condemned unheard'.

Ndio maana ungesoma kwani nimeshajibu. Mojawapo ya vitu ambavyo watu hawavielewi ni hiyo "natural justice". Alipewa nafasi ya kujitetea; he was not condemned he condemned himself.

Lawassa walimcondem bila kupewa nafasi ya kusikilizwa.

Siyo kweli, Lowassa alipewa nafasi ya kujitetea hakuitumia.

Mzee, Mwanakijiji, Mwakiembe ni mwalimu wangu, ukimwamini sana, utapotea.

Wewe kama wengine wanaangukia kwenye huu mtego wa mimi na Mwakyembe. Maisha yangu au akili yangu haizungunguki juu ya Mwakyembe.

Nikisha kusoma vizuri nitakujibu vizuri.
Siko kwenye kundi la kumtetea Lowasa na ufisadi wake, but was serious, firm na practical, jamaa ana uwezo mara 10 ya JK.

Hilo ni somo jingine kabisa.
 
I do not believe that Lowassa is not a quitter because he was given a chance to present his side of the story in the presence of a full BUNGE house but chose to throw in the towel instead!!

exactly! watu hawaelewi juu ya nguvu za Bunge au Kamati ya Bunge. Kujitetea au kuelezea upande wake siyo lazima ingekuwa kwenye Kamati. Ndio maana ripoti ya Kamati ililetwa Bungeni. Lowassa angetaka kujitetea au kuelezea his side angeweza kufanya Bungeni. He didn't want to.

He was heard as the law of natural justice dictates but in doing so he never defended himself against the allegations levelled against him in the report.!! Unfortunately, his handlers are convincing him that he should do now what he was supposed to do then as a way of cleansing his political dung!! It is a pity that he is being ill advised and he is swallowing the advice wholly bait, hook and sinker!! He is a nut.

that is whats up. Watu wasiioelewa "natural justice" wanafikiri ni kujitetea mara moja na mahala pamoja!
 
Ni mtendaji hodari.Ila nitajieni kazi ipi duniani yenye maana ambayo haiitaji ethics wala kujari integrity ya mtu? Labda kuuza cocaine kutoka Colombia, maana kama ni kuwa ndani ya mafia ole wako ukiisariti code of conduct. Huyu bwana shaka kubwa ya watanzania ni integrity yake...utamsafishaje mtu wa aina hii ili watu wamuamini , maana yeye kaamua kukaa kimya? Labda kwa kutumia acid ili baada ya kumsafisha aonekane mtu tofauti.
Ila wahenga waliwahi kusema Old droppings do not stink. Sijuia 2015 kama huu mnuko alionao sasa utakuwa umekwisha kwa kiasi gani.Time will tell
 
Du! Kama tungekuwa na rasli mali zisizokuwa na kazi... ingebidi tuchunguze

"Kuna nini zaidi kati ya Mzee MwanaKijiji na Mh. Lowassa"

Maana post zinazomuhusu Mh. Lowassa toka kwa Mwanakijiji ni nyingi sana, kuna nini? si tayari sio waziri mkuu? sasa mwatafuta nini?

Si unajua tena Lowassa ni muislam na Mwanakijiji ni mkatoliki? Huu ni ugomvi wa kidini yakhe.

Kama unabisha waulize wafuatao = Kanda2, Game Theory, Chinga, Mswahili, Mzanganyika, Tumaini na mafundamentalist wengine kibao hapa JF.
 
Hivi kama Richmond wangefanikiwa kuwasha umeme right on time, haya yangetokea kweli? Ama kweli hii ilikuwa ni ajali kazini. Wanasema za mwizi ni Arobaini.

Lowassa asingeweza kujitetea siku ripoti ilipotoka. He was not read for that. He was caught by surprise! Ndio maana alitumia kijisababu cha natural justice at the same time baada ya siku chache akaanza kuzunguka huku na huko kujitetea (Mnakumbuka alivyopokelewa jimboni kwake alipokwenda kujitetea? Mnakumbuka pia interview yake TBC?)

I promise you guys Lowassa is history kwa sasa! Kamwe hataweza kupanda tena juu ya hapo alipo sasa! Take my words!
 
kitu gani EL alifanya mpaka tukakiona cha maana? mtu kama magufuli unaweeza sema?Me nilichokiona kwa EL ni ubabe wakufokea watendaje serikalini hadharani na kutuingiza kwenye richmond. Yani hata msabaha awe mjinga akanyoosha mikono?Nakusema anaonea, ile ilikua deal ya RA na EL. Huyu jamaa hapaswi hata kutetewa, na namshangaa Rev Kishoka anavyojitahidi kumkosha.

Did all of you trully believe that I was trying to cleanse Lowassa? If you did then you are all fools!
 
Mkuu mwanakijiji
nguvu unayotumika kumsafisha unadhani inaweza kuzuilika?? kwani nadhani tutaona mengi kuelekea 2010 ila la kusafisha EL linafanyika kwa tahadhari kubwa na speed kali kweli.

Kwani Salva alishakata undugu na white head????
 
mwalimu nyerere aliwahi kusema lowassa hafai kuwa hata diwani so kinachotokea kwake leo hii ni laana ya mtakatifu mwenye heri jk nyerere, rip baba wa taifa mkombozi wa wanyonge
 
Huyu jamaa hana hata chembe ya usafi na haiwezekani kusafishika.



Mkuu naitikia tu Amen?
Lakini usisahau maneno kama haya yalisemwa mwaka 1995 EL aliponyimwa kugombea urais?

Waungwana wakasubiri mpaka Nyerere alipofariki, halafu wakajifanya wamesahau uchafu wake. Akapewa mpaka u-PM.

Huyu ni wa kuumbua mpaka apatiwe hukumu inayolingana na ufisadi wake. Well done Mwanakijiji and keep it up.
 
Si unajua tena Lowassa ni muislam na Mwanakijiji ni mkatoliki? Huu ni ugomvi wa kidini yakhe.

Kama unabisha waulize wafuatao = Kanda2, Game Theory, Chinga, Mswahili, Mzanganyika, Tumaini na mafundamentalist wengine kibao hapa JF.

Hizi sasa bange, tena bange mbichi.
 
In short ni kwamba Lowassa hakutegemea yaliyotokea kuwa yangetokea. Alifanya maamuzi bila kujali anavunja au anafuata sheria probably kwa sababu ndio utaratibu wa viongozi wetu. By the way who's gonna ask??????? Muungwana? His mate? Hamjasikia kwamba hawakuktana barabarani? Tumetoka naye mbali bwana. Alikuja kugundua or else kugundulishwa when it was too late!!!!!! Jazba, kutapatapa, na egoism ndiyo vilimfanya ajiuzulu na si eti kwamba he loves Tanzania or watanzania that much.

Huyu jamaa hana hata chembe ya usafi na haiwezekani kusafishika. Na kama kuna kiongozi atajaribu kumsafisha direct na kiuwazi basi na yeye political future yake itakuwa matatani.

By the way on what recordz kuzishinda za kina Mrema, Sokoine na hata Magufuli zinazotufanya watanzania tusimsahau huyu mtu???????
Nyambala,
Kwa muktahsari huu naona kama umemaliza vile, kwani katika makala mbalimbali zilizotoka katika jukwaa hili zimuhusuzo Lowasa Kuna wachangiaji wengi wanaokubali kuwa wakati wa mh. huyo umepita,kuna walomfananisha na Chuvi iliyoharibika, kuna walomwita la Kuvunda, nami nitaita Sikio la kufa, kujitahidi kumsafisha Lowasa ni kupoteza wakati. Kwa maoni yangu hata huo Ubunge angepaswa awarudishie wenye Jimbo huko Munduli, inashangaza kuwa hakuna aliedai hivyo hasa kutoka Munduli kwenyewe. Wakati umefika wa LOWASA na Washabiki wake wakubali kuwa BWANA ALITOWA NA BWANA AMETWAA. (Ameeennn)
 
Mkuu naitikia tu Amen?
Lakini usisahau maneno kama haya yalisemwa mwaka 1995 EL aliponyimwa kugombea urais?

Waungwana wakasubiri mpaka Nyerere alipofariki, halafu wakajifanya wamesahau uchafu wake. Akapewa mpaka u-PM.

Huyu ni wa kuumbua mpaka apatiwe hukumu inayolingana na ufisadi wake. Well done Mwanakijiji and keep it up.
Makaayamawe,
Safari hii atasubiri sana, Itabidi wafe zaidi ya nusu ya Watanzania. Maji mengi yamepita chini ya Daraja toka 1995.
 
Hivi lowasa alijiuzulu kwa hiyari yake au alisukumwa na jk kwa ajili g. Bush alikuwa anakuja, na mweshimiwa alikuwa under pressure from ambassador wa uk, us kuhusu richmond + corruption kwa ujumla
 
Hivi kama Richmond wangefanikiwa kuwasha umeme right on time, haya yangetokea kweli? Ama kweli hii ilikuwa ni ajali kazini. Wanasema za mwizi ni Arobaini.

Lowassa asingeweza kujitetea siku ripoti ilipotoka. He was not read for that. He was caught by surprise! Ndio maana alitumia kijisababu cha natural justice at the same time baada ya siku chache akaanza kuzunguka huku na huko kujitetea (Mnakumbuka alivyopokelewa jimboni kwake alipokwenda kujitetea? Mnakumbuka pia interview yake TBC?)

I promise you guys Lowassa is history kwa sasa! Kamwe hataweza kupanda t
ena juu ya hapo alipo sasa! Take my words!
Nurujamii,
Yaelekea uko sawa, ukichukulia na maoni ya wengine kuwa Lowasa alijijengea Maadui, Hivyo ilihakikishwa ripoti haivuji (no leak) kwa hiyo Ndege mjanja akajikuta kanaswa na Tundu bovu (Maneno ya wahenga hayo)
 
Hivi lowasa alijiuzulu kwa hiyari yake au alisukumwa na jk kwa ajili g. Bush alikuwa anakuja, na mweshimiwa alikuwa under pressure from ambassador wa uk, us kuhusu richmond + corruption kwa ujumla

Mhh hii mupya......mupya kabsaaa.Kwa kuwa ni Tanzania inawezekana lakini;eti?
 
- Alitakiwa awe Segerea by now!

Respect.

FMEs!

The thing is, he is the one who actually has the powers to decided who goes there and who doesn't. The guy and RA are ruling the country by proxy, their presence in Tanzanias political life will be a nightmare for a long time to come.

The current war againts graft is kind of war of beating around the bush, not the bush itself. Until we beat the bush we are not going no where....
 
- Mkulu MMJ, wewe ni kweka tu habari za huyo fisadi, siku zote JF ndiyo kiboko yake toka akiwa Waziri Mkuu hapa ndipo palipokuwa fimbo yake akajaribu kuleta yule mtu wake wa kumsafisha Mchambuzi, akaishia kukimbia bila kufukuzwa,

- Akajifanya kujibu hoja hapa JF, lakini zikawa pumba tupu, in the end akaachia ngazi, sasa anajaribu kila njia kurudi madarakani kupitia mlango wa nyuma, dawa ni kumuanika hapa mpaka kila mwananchi ajue, fisadi asiyetosheka na mali, abaki huko huko aliko na mipombe yake mikali na yenyewe asipoangalia itamuondoa sasa hivi, mwanadamu huwezi kunywa lichupa lizima la Brandy kama maji ukapona!

MMJ endelea kulifunua hili fisadi hapa, mpaka kieleweke!

Respect!


FMEs!
 
Back
Top Bottom