Ze Comedy: Idea zimekwisha!

Jana nilitizama kipindi cha ze komedi, kwakweli vijana wanajitahidi kuwa na sustainability, tho these days popularity imeshuka kidogo tofauti na miezi mitatu kurudi nyuma. vijana wanakuja na innovations, seems they get trouble to think, thats good!!!!!!!!

BUT sikutegemea kikundi kile kinachoongozwa na sekioni david na isaya mwakilasa, ambao nilidhani kidogo they have abit exposure, radical and morden, to come up with that clip, that shows and mock mama kilango(joti) akiwa anaongea kwa kulalama na kama mama wa kiswahili, na huku kikimwonyesha mama sofia simba(wakuvanga) akiwa anaongea kwa utaratibu na hekima!

Guys........... mnaelekea wapi?

ni kwa sababu ya 'pesa" mmepuuza utu wenu?

kweli mlikuwa sobber enough to mean what you showed yesterday?

hivi ni kweli huo ndio UKWELI mnaosimamia?
 
hao mbona uelekeo ulipotea kitambo....hajali mtu utu hapo, fadha kwanza mengine....inshallah majaaliwa
 
Wimbo huchaguliwa na yule aliyetoa pesa. Hawa wanalipwa na Manji, aliyetegemea kitu tofauti toka kwa hawa ndiye mwenye matatizo.
 
Jamaa kwa kweli hamna kitu, siku hizi wamekuwa watetea mafisadi hasa baada ya kuingia TBC1. Watu siku hizi hawana moto nacho kama zamani hata ukikikosa poa tu
 
Wimbo huchaguliwa na yule aliyetoa pesa. Hawa wanalipwa na Manji, aliyetegemea kitu tofauti toka kwa hawa ndiye mwenye matatizo.

I think you are right...what else would we expect???
 
Jamaa kwa kweli hamna kitu, siku hizi wamekuwa watetea mafisadi hasa baada ya kuingia TBC1. Watu siku hizi hawana moto nacho kama zamani hata ukikikosa poa tu

hata shetani ana mtetezi wake fair play....kwa kweli mimi binafsi sikumbuki the last time nimewaangalia, na naamini watu kibao sikuhizi hawana mpango nao...
 
Jana nimekubali kuwa bila Masanja kama anchor kwenye Ze Komedi show inasuck! Show ya jana ilikuwa mbaya kinoma. Nilikuwa najilazimisha kucheka but sikucheka coz there was nothing to laugh at! Wale waliokuwa wanasoma wanajifanya kuongea viingereza mshenzi ndo walikuwa wanaboooooooooooooooooa! Kwa style ya jana Futuhi iko juu zaidi ya Ze Comedy yenu hiyo.

nadhani nilishatabiri kifo cha hawa jamaa. katika bandiko fulani. wamefulia
 
u guys r not serious at can u really compare futuhi wit origino comedy.Origino komedi r great entertainers unlike futuhi, i even pitty u if u got time 2 watch them they r so childish. nway lets just say kila mtu ana taste yako. u don have 2 talk ill abt origino komedi they have stayed in dat game 4 a long time futuhi wamezinduka majuzi 2. Anyway like i said kila mtu ana taste yake
 
futuhi siwezi hata ku-tune Tv nikaangalie futuhi mwenzenu sijui kama ni nzuri au mbaya
bora niangalie WWE
Akina nyie kwanini lakini mkiona wenzenu wanakosea mnawaponda zaidi ya kuwapa idea wafanye nn kweli we don lav each other
 
Mi nadhani tatizo wenyewe kwa wenyewe hawakubaliani. Kwani kama mtu yuko fiti katika section fulani si wawe wanamtuia katika sehemu hiyo. Na wengine wafanye wanapojiona wanwfiti.
 
Ukishalalia upande mmoja biashara yako haiwezi kunoga hata kidogo. ss hv cwaelewi kabisa yani wale waliokua wakiwaponda enzi zile eatv ss hv ndo watu wao kinoma hahahahah kweli njaa noma, nilisoma gazeti flani wakawa wanazungumzia mmoja wa wana orijino komedi kufanyiwa kitu mbaya na wenye mji...labda ni kutokana na hiyo tabia yao ya kulalia upande mmoja na kukosoa watu ambao jamii inawakubali.
 
Back
Top Bottom