Recent content by GuyFromArusha

  1. GuyFromArusha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BE A SUPPORTIVE GIRLFRIEND, NOT A TAX COLLECTOR!!!!!

    I concur [emoji817] %
  2. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Machalii wa chuga; ni musicians, comedians ama ni drug victims..??

    Hao jamaa ni comedians. Hiyo ni sanaa tu. Wanajaribu ku-portray maisha ya kijana wa kiarusha sema wanakolezea vionjo flani (mfano mavazi, misimu na rejesta) ili kuburudisha jamii.
  3. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Things I have learned from Rich People

    Thank you for this insightful article! Food for the mind!
  4. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Asante. It seems unajua sana hii aina ya biashara. We ni noma!
  5. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Kama kweli ni mchizi wako mpe support sio kumbeza just becaue he had the balls to try! Rafiki jipu ww!
  6. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Well as per my understanding, all these network marketing businesses originate from abroad because the products themselves come from abroad. We are not in the 1800s we are in the 21st Century. Mkuu si unafaham concept ya Globalization na international trade? Hata we unaweza kuongeza sales za ur...
  7. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Hapana si lazma uache shuhuli zako halali za kukuingizia kipato kwani unaeza fanya vyote. Lakini fahamu pia kwamba “No research no right to speak”. Kama huoni maana kutafiti jambo basi usilizungumzie kaa kimya na ignorance(ujinga) wako usituambukize wenye nia na uthubutu wa kuelewa.
  8. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Nashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea...
  9. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania PILAU KWA ENGLISH

    Inaitwa Pilau hivyo hivyo kwa kuwa ni proper noun (nomino pekee)!
  11. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Agreed !!! kuna umuhimu wa watu kufanya utafiti yakinifu kabla ya kuingia kwenye hizi biashara. Vile vile kuna umuhimu wa kutofautisha kati ya pyramid schemes na biashara za kimtandao. These are not get rich quick schemes zinahitaji uumize kichwa na uchukue risks kubwa. Mara nyingine utakosa ila...
  12. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna muvi Kali zaidi ya Bourne identity?

    Mkuu inategemea na aina (Genre) ya movie unayopenda. Kama ilivyo muziko movie nazo kila mtu ana taste yake. Binafsi napenda sana movies za comic book heroes japokua ni za mambo ya kusadikika (fiction) kuna zenye storyline nzuri kama vile: Batman Begins, Batman The Dark Knight Captain America...
  13. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka nick name yako ya sekondari? Tupia hapa

    Trey Songz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. GuyFromArusha

    JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Nikki Mbishi - Au
Back
Top Bottom