Rommy Ronny
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 664
- 885
Maino- all above
Pishi gani jipya umelionaNaangalia mapishi
Kweli sasa hivi nimetune kipande na wana.Daby muongo [emoji23]
Yani hata siujui huo wimboKweli sasa hivi nimetune kipande na wana.
JCB wa ukoo na magenge.
Huyu jamaa kwa bongo sijaona story teller kama yeye mkuu.Kingkola inanikumbusha kama Stori ya Nyokaaa mchizi wa Unga Limited.......
Aiseh Hii dog danger mbona sina... ngoja niitafute onlimne kama nitabahatika kuipata. nikiikosa tafadhali naiomba.Huyu jamaa kwa bongo sijaona story teller kama yeye mkuu.
Kuna ile dog danger.
Kila tulipokutana alinambia maisha Kamari kula au uliwe Ishi au uliwe. I respect you mbwa.
Mbele namwuona ni Nas slick rick ama immortal maana ndiyo kwenye story wapo vizuri
Sio nikapikeUkimaliza kuangalia fungulia mziki then shea nasisi
Au kisa mi wa bara mwenzangu unatokea pwaniNikki Mbishi - Au
Ni yale yale sema wameboresha tuuPishi gani jipya umeliona