Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Heshima kwenu wakuu, kama mjuavyo leo ni siku maalumu, na katika hizi siku maalumu huwa 90% tunatumia wali ule mchafu almaarufu(pilau) sasa nataka nimualike rafiki yangu mzungu ila sijui pilau kwa kiingereza inaitwaje.
Mwenye kufahamu naomba anijuze tafadhari.
Mwenye kufahamu naomba anijuze tafadhari.