Recent content by guruguja

  1. guruguja

    JamiiForums Tanzania Tuna Waziri wa Nishati asiyefaa hata kidogo. Huwezi kulazimisha Watanzania kupikia gas wakati purchasing power yao ni duni

    Maisha yake yote toka kuzaliwa mpaka Leo hajawahi kukutana na kitu kinaitwa shida, leo hii utegemee atajua shida za watu wa Hali ya chini na mahitaji yao? Yeye anacjojua ni kumfurahisha boss wake na harakakati zake alizozianzisha 2015. Lile jitu la kazi kalemani lenyewe halikutokea masaki na...
  2. guruguja

    JamiiForums Tanzania 99.9% ya Wananchi wanamkubali Rais Samia Suluh Hassan

    Umbwa wewe
  3. guruguja

    JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2021 hizi hapa

    Mwenye majina ya wasichana 10 Bora sayansi aweke nayo.
  4. guruguja

    JamiiForums Tanzania Mbona mambo yamesimama PSPTB

    Bodi ya UGAVI na MANUNUZI Tanzania Kuna Nini mbona mambo yamesimama tatizo lipo kwa Nani hasa watu wametuma maombi ya kusajiliwa tangu mwezi wa Tisa 2020 Lkn hamna usajiri unaofanyika, mitihani Ina ahirishwa tu, matokeo hayatoki kwa ufupi shughuri zimesimama, Nani mhusika arekebishe bodi iwe...
  5. guruguja

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Jamaaani mwenye matokeo ya jimbo la busokelo mbeya
  6. guruguja

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuliowahi kula mtungo na wanawake mliowahi liwa mtungo tupeane uzoefu

    Unafikuria Sana bravo!
  7. guruguja

    JamiiForums Tanzania Interview utumishi

    Nimeingia oral 2 na zote nimedunda utumishi cjui wanataka nini jamaani
  8. guruguja

    JamiiForums Tanzania Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Ninaamini ni kweli mwanaume kamili hawezi kufunguka kama hivyo kama halijamgusa. Ila naona kuna shida kwa prince maana jamaa hamzungumziagi kabisa zaidi ni Tiffah tu basi
  9. guruguja

    JamiiForums Tanzania Aliyepita chuo Na aliyepita advance

    Adv diploma then degree hapo umeongopa ndugu ninamashaka na shule yako Sent using Jamii Forums mobile app
  10. guruguja

    JamiiForums Tanzania Shughuli gani ataweza fanya aliyesom 'Bachelor of Science in Physics (BSC-PHYS)'?

    Asihangaike na hiyo kitu kwanza ni ngumu halafu kwa bongo haina future. Subiri mwakani atapata tu.
  11. guruguja

    JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wakimbizi wa Ethiopia wakamatwa huku wakiwa na maiti ya mwenzao aliyekufa siku mbili zilizopita

    Basi hapo watarudishwa kwao kwa fedha zetu
  12. guruguja

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Kila mwanafunzi awajibike kulipa fidia ya uharibifu uliotokea kwa sababu ya ujinga wao.napendekeza Kila anayetaka kurejea shule hiyo Basi afike na bank slip ya Tsh100000/=
  13. guruguja

    JamiiForums Tanzania Narushiwa hela kwenye simu kila mwezi na mfanyakazi mwenzangu ambaye ni mume wa mtu

    Fuatilia ukarbu wa huyo 40+ na bae wako inawezezaka bae wako anakupima imani kwa kumtumia huyo 40+
Back
Top Bottom