Ajira ni bahati ya mtu siku izi, yaaani namaanisha nani anakushika mkono, unaweza usipite kote uko na ukawa sekta nyeti
Nenda kasome chuo mkuu, kusoma form 5 & 6 , ni kujichosha bure,kumbuka aliyesoma certificate then diploma huyo Tayari yupo kwenye soko la Ajira, sasa ww ukimaliza form six Nani akuajiri , kumbuka ukifeli form 6 imekula kwako, katika vitu hopeless nilivyowahi kujifanya nadhani mi kusoma A level,Habari za muda wadau.
Naomba kujua kati ya aliyepita chuo(kuanzia certificate) Na aliyepita advance Nani anaurahisi kwenye kuajiriwa. ??
Msaada tafadhali.
certificate_ordinary diploma then ni must upate GPA ya kuanzia 3.0( kwa vyuo vingi) afu unaunga dgree 3 yrsMkuu It Seems Upo Njia Panda Kwenda Chuo Au Advance
Nikushauri Tu Pote Ni Pema
Ila Short Cut Hapo Ni Advance Two Years Then Degree
Certificate-ordinary Diploma-advanced Diploma Then Degree Three Years,
Kama Ni Arts Nakushauri Nenda Advance
Kama Ni Science Kozi Za Afya, Technolojia, Uinjinia Nenda Chuo,
Kama Mkwanja Upo, Wa Kusoma Bila Hata Mkopo Nenda Chuo,
I Stand To Be Corrected
Am Out!!
Ok ulitaka niseme diploma 2????? Au diploma ni mwaka mmoja???Adv diploma then degree hapo umeongopa ndugu ninamashaka na shule yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, vijana wengi siku hizi ni wajanja hawana ulimbukeni WA kutaka kusoma form 5 & 6, tatizo home hawataki kuwaruhusu kwenda certificate then diploma, sijui huo ulimbukeni Kwa kutaka watu wasome form 5 &6, utaawasha lini !!!, Mi kuna dogo WA jamaa yangu mmoja O level alipataga div one, sasa Yule dogo akamwambia dingi yake YY hataki kusoma A level, hila Yule jamaa alimgomea dogomtoa mada we angalia urahisi wako ni upi,na ukienda adv inabidi ukaze ili utoke unyooke adi dgree mana ukiyumba diploma inakuhusu
kuanzia certificate piaa ni nzuri zaidi kwa upande wangu
pia angalia umri wako,bnafsi me nmemaliza 4 niko na 16yrs,tokeo linatoka nko na 17...nkataka kwenda chuo bhna ila home walinikazia mbaya eti umri mdogo kwenda kuishi mbali na home(niliwamind sema skua na jinsi
advance miyeyusho asee ukiweza anzia cert
A level not adv diplomaAdv diploma then degree hapo umeongopa ndugu ninamashaka na shule yako
Sent using Jamii Forums mobile app
AccountancyIla mzee ungeweka wazi kozi unazotaka kusoma, financial status yako, Network uliyonayo, na dhamira yako kaktk maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
On ur side mr......saf sanaaaMkuu It Seems Upo Njia Panda Kwenda Chuo Au Advance
Nikushauri Tu Pote Ni Pema
Ila Short Cut Hapo Ni Advance Two Years Then Degree
Certificate-ordinary Diploma-advanced Diploma Then Degree Three Years,
Kama Ni Arts Nakushauri Nenda Advance
Kama Ni Science Kozi Za Afya, Technolojia, Uinjinia Nenda Chuo,
Kama Mkwanja Upo, Wa Kusoma Bila Hata Mkopo Nenda Chuo,
I Stand To Be Corrected
Am Out!!
Mmmh apo so kwl kwny cv atakuzdje wakt yy ana chet had cha form sixKwa haraka haraka aliyepitia chuo nibrahisi kuajiriwa kuliko ambaye ameenda adv. Kwa sababu hizi kwanza in terms ya exprience wa chuo tayari anaexprience na soko la ajira na kazi pia so ukienda naye kuomba ajira na wote mna degree moja most likely ni rahisi kukuzidi hata kwa cv yake tu
Sent using Jamii Forums mobile app