Recent content by gunasoljer

  1. G

    JamiiForums Tanzania Bongo movie bhana wanachekesha kweli!

    mlinzi wa getini lazima awe kama chizi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ISIDINGO ina mahusiano gani na ITV?

    Isidingo ilianza kuonyeshwa na ITV baada ya kuona tamthilia ya egoli haina maadili mazuri.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    mwalimu Ndutu korogwe primary school (marehemu)
  4. G

    JamiiForums Tanzania Isidingo

    Nakumbuka ilianza kuonyeshwa 1998 baada ya tamthilia ya egoli kukatazwa.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wakati unaingia mjini kitu gani ulifanya na hutosahau?

    Kuna Siku nilipanda chai maharage( daladala, mwaka 1995) kwenda kariakoo wakati wakurudi nilikaa kituoni kuisubilia gari hiyo hiyo mpaka ilipotokea tena.nilijua daladala inayotoka eneo hilo ni hiyo moja tu.kipindi hicho zilikuwa hazijaandikwa zinapokwenda.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Public Service Recruitment Secretariat: Nafasi za kazi

    Hongereni kwa matangazo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Mbolo muuza duka Ikwiriri lufiji.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ankara(Bill) ya Majitaka ni wizi uliohalalishwa na nani?

    Kwa kawaida maji taka ni asilimia sabini na tano ya maji safi. Hivyo bili ya maji taka kukatwa sawsawa na bili ya maji safi hiyo si sawa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    Tumezoea kucopy na kupest
  10. G

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Kinondoni, Engineer Nati asimamishwa kazi, aamriwa kurejea Dar

    Yanga kashinda moja bila dk 90+3
  11. G

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Duh! Hatariiiiiiii
  12. G

    JamiiForums Tanzania Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Hata mchezaji mpira anaweza akatoa pasi, lakini huwezi chukua ukaenda kunyoshea nguo.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kauli CHAFU za walimu darasani

    Kesho kila mmoja aje na kuni mbili na maji ya kumwagilia Bustani na mkumbuke kuwahi namba.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kauli CHAFU za walimu darasani

    umenifurahisha sana mkuu!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Hongereni sana Tanesco kwa kutokukata umeme leo hii

    Huku kwetu mbagala charambe wameshakata sasa hivi.
Back
Top Bottom